Bila ya CCM, Tanzania ingepoteana


Vyuma vya dunia kumshuhudia Mnyama akitumbuiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe mpk uchambwuzi wa siasa upo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] ww utakua hunaga hasira maana kule unapopolewa huku tena upopolewe na ccm yako.....
Mkuu Kwan ww cio green [emoji32]
 
Hao wapinzani hawan hoja hata moja zaidi ya matusi na kejeri kama unabisha subir uone kama kuna mwenye hoja Kidumu Chama Cha Mapinduzi
 
Kabla hata ya CCM nchi ilikuwa na mshikamano. Tulishikamana kumtoa mkoloni.

Lakini sikatai usemacho, ingawa CCM unayoitaja iliishia 1985 na waliokuja baadaye CCM ya Babeli isiyokuwa na kusudi, dira walamwelekeo wa kuikwamua nchi.

Imejaa majizi, wauaji, wafiraji, waongo na watu mabaradhuli dhidi ya ustawi wa demokrasia na maendeleo ya kweli.


Muhimu istaafishwe kwa manufaa ya Umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…