Bila upinzani kutegemea nguvu kutoka nje ya siasa hawatashinda. Case Study: DRC.

OP amekosea, anajenga hoja kwa papara, Kanisa Katoliki wala hali msupport msindi aliyetangazwa bw. Tishekedi, bali lina msupport bw FAYULU ambaye ametangazwa kushika nafasi ya pili...

Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnasoma mada kwa uangalifu, nani kasema kimeshinda chama kilichokuwa supported na kanisa katoliki.
 
Wewe ni chadema na kwa bahati mbaya nakujua hata sura yako
It doesn't matter unanijua au niko Chadema the heating issue ni kuwa moja ya chama tawala kutoka eneo la maziwa makuu is no longer in power.
 
Nakubaliana na wewe 100%, it is insanity to keep doing the same thing the same way and expect different results.
Newton's first law of motion inasema an object will remain stationery unless an external force is being applied on it. Sasa kama wanataka kutoka sehemu moja kwenda nyingine nguvu nje ya siasa ni muhimu sana.

Wasipobadilika wakiendekeza woga wao eti wataitwa wasaliti wakati wenzao CCM wakishirikiana na hao hao wanaowaita mabeberu watabaki kuwa wasindikizaji.
 
ungejua kuitofautisha CCM na vyama vingine vinavyoweka wafalme madarakani , usingesema haya. kwa yaliyotokea Kongo , huwezi kufananisha na Tanzania na kwa Tanzania CCM tutaongoza sana mpaka tuseme basi kwa sababu :nia, uwezo na sababu tunazo.

Tofauti ya CCM na hivyo vyama vingine ni kwamba CCM inabadalisha kiongozi , hivyo ni vigumu kwa kiongozi kuchokwa na tunachagua viongozi waliobeba matarajio ya wananchi (mfano ni Rais Magufuli).

wananchi hawabadilishi chama kwa sababu wana mapenzi nacho, wananchi wanachagua chama kilichobeba matarajio yao kiuchumi, kidiplomasia, kimaendeleo na kijamii na kwa CCM ina hazina ya viongozi wenye mtazamo wa kubadilisha nchi na wananchi wake hivyo si rahisi CCM kuchokwa na kupelekea kuchagua upinzani wq matukio
Acha uongo, kafanye case study uchaguzi bara in two terms 2010, 2015 kote huko figisu ndio ziliwaweka, inasemekena 15 ni 10m vs 2m na mwenyewe 2 alishinda!

Wapigakura wanafanya kweli ila Dora ndio inarekebisha ila, Dora huwa sio permanent solutions I dare to say that and DRC case study imeprove hiyo theory kuwa ni kweli.
 
you must be kidding! yaani magufuli alipata 2m against 10m za lowasa. kwa matokeo hayo uliyosema hata mbowe ukimwambia atacheka na kukuambia uache' ulongo'
 
Muwe mnasoma mada kwa uangalifu, nani kasema kimeshinda chama kilichokuwa supported na kanisa katoliki.
Mkuu hapa ulikua unamaanisha nini?

Quinine said:
Leo Kongo upinzani umetangazwa washindi sio kwa nguvu zao, Tume ya uchaguzi CENI ilikuwa na uwezo kabisa wa kugeuza matokeo lkn haikuthubutu kutokana na nguvu ya nje hasa Kanisa Katoliki na shinikizo la nchi za Ulaya na Marekani ambayo tayari ilianza kusogeza manowari zake kwenye pwani ya Congo.

Kwanini hoja yako ni "mfu kwenye ya maji"

....Nilichosema ni kuwa mgombe anayepata support ya Kanis Katoliki na pengine pia support ya nchi za Ulaya na Mraekani hakushinda kwa mujibu wa tume, bali mgombea mwingine kabisa ndie aliyeshinda, na inasemekana kuwa mgombea huyo tayari ameshafanya dili na semrikali iliyopo madarakani radio maana hadi çivi sasa hali sio shwari huko DRC....

...my two cents
 
Once again read between the lines,.... I said upinzani umetangazwa.... kwa support ya kanisa, lengo langu ni kuonyesha bila nguvu ya kanisa hata huyo aliyeshinda asingetangazwa.
 
kusogeza manowari zake kwenye pwani ya Congo.
Kwanza naomba ufafanuzi hapa mkuu...!

Tume ya uchaguzi CENI ilikuwa na uwezo kabisa wa kugeuza matokeo lkn haikuthubutu kutokana na nguvu ya nje hasa Kanisa Katoliki na shinikizo la nchi za Ulaya na Marekani
Matokeo yamekata na ao mabebeu wa kifaransa wanadai mshindi ahakuwa Felix Tshisekedin bali aliyestahiki kushinda ni Martin Fayulu..! Wakati uo bado kanisa la RC nalo limepigwa butwaa kwani wote walijua kuwa Martin Fayulu ndiye atashinda...! Martin Fayulu amepinga matokeo hayo pia kwani alieshinda tuseme kwa Tanzania 2015 tuseme sawa tungalitangaziwa mshindi ni Hashim Rungwe...!
 
ungejua kuitofautisha CCM na vyama vingine vinavyoweka wafalme madarakani , usingesema haya. kwa yaliyotokea Kongo , huwezi kufananisha na Tanzania na kwa Tanzania CCM tutaongoza sana mpaka tuseme basi kwa sababu :nia, uwezo na sababu tunazo.

Tofauti ya CCM na hivyo vyama vingine ni kwamba CCM inabadalisha kiongozi , hivyo ni vigumu kwa kiongozi kuchokwa na tunachagua viongozi waliobeba matarajio ya wananchi (mfano ni Rais Magufuli).

wananchi hawabadilishi chama kwa sababu wana mapenzi nacho, wananchi wanachagua chama kilichobeba matarajio yao kiuchumi, kidiplomasia, kimaendeleo na kijamii na kwa CCM ina hazina ya viongozi wenye mtazamo wa kubadilisha nchi na wananchi wake hivyo si rahisi CCM kuchokwa na kupelekea kuchagua upinzani wq matukio
Nakubalina na kwa hoja ya mabadiliko ya viongozi.
Lakini pia na wewe lazima ukubali ukweli kwamba miongoni mwa mambo yanayowabeba CCM ni;
1.Kutokuwepo na tume huru inayosimamia uchaguzi
2.Siasa chafu juu ya vyama vingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza naomba ufafanuzi hapa mkuu...!

Matokeo yamekata na ao mabebeu wa kifaransa wanadai mshindi ahakuwa Felix Tshisekedin bali aliyestahiki kushinda ni Martin Fayulu..! Wakati uo bado kanisa la RC nalo limepigwa butwaa kwani wote walijua kuwa Martin Fayulu ndiye atashinda...! Martin Fayulu amepinga matokeo hayo pia kwani alieshinda tuseme kwa Tanzania 2015 tuseme sawa tungalitangaziwa mshindi ni Hashim Rungwe...!
Cha muhimu zaidi ni kuwa Kabila na chama tawala wameangukia pua mengine ni story tu, kuhusu manowari za kimarekani uwe unafuatilia habari za kimataifa.
 
It doesn't matter unanijua au niko Chadema the heating issue ni kuwa moja ya chama tawala kutoka eneo la maziwa makuu is no longer in power.
Ki usahihi zaidi nafikiri ni nchi zote nne Burundi, Kenya, Rwanda na Uganda kasoro Tanzania.
 
CCM tutaongoza sana mpaka tuseme basi kwa sababu :nia, uwezo na sababu tunazo.
Wewe ni tools tu hunalolote, kama hujatwanga huli. Kwenye siasa kuna makundi mawili tu, adui na zana za kufanikisha mambo, wewe ni miongoni mwa zana tu unatumika kuwafanikishia watu mipango yao.
 
Vyama vya upinzani Tanzania hasa Zanzibar vimekuwa vikishinda chaguzi mbalimbali lkn vimekuwa vikiporwa ushindi kwa sababu havina nguvu yeyote zaidi ya kutegemea sanduku la kura. Sanduku la kura peke yake haliwezi kuwapeleka ikulu.

Ushindi wa uchaguzi hasa kiti cha urais ni zaidi ya siasa, chama cha Mapinduzi hakitegemei siasa kushinda uchaguzi, kina tegemea nguvu ya ziada nje ya siasa, siasa inatumika kama ngazi tu ya kuhalalisha ushindi.

Leo Kongo upinzani umetangazwa washindi sio kwa nguvu zao, Tume ya uchaguzi CENI ilikuwa na uwezo kabisa wa kugeuza matokeo lkn haikuthubutu kutokana na nguvu ya nje hasa Kanisa Katoliki na shinikizo la nchi za Ulaya na Marekani ambayo tayari ilianza kusogeza manowari zake kwenye pwani ya Congo.

Ushindi wa uchaguzi unategemea nguvu ya uchumi, unategemea jumuiya za kijamii, unategemea nchi marafiki, unategemea ushawishi kwenye jumuiya za kimataifa, bila kuwa supported na makundi haya huwezi kuingia ikulu hata kama utashinda kwa 100%.

CCM ina rafiki zake China, FRELIMO, ANC, Swapo, MPLA haiogopi hata kuwakaribisha kwenye kampeni zake, na ndio wanaosaidiana hata mbinu za kuiba matokeo, upinzani unaogopa kuwatambua marafiki zake eti wataambiwa wanashirikiana na mabeberu. Acheni uoga.

Shirikianeni na viongozi wa dini, Makanisa na Misikiti waziwazi msiogope kuambiwa mnaingiza dini kwenye siasa, mbona wao kila sehemu wanaongozana nao. Shirikianeni na vyama vya kijamii kama LHRC, TUKTA, CWT, TLC, NGOs, hamna sababu ya kujifichaficha.

Tafuteni mashirika ya ndani na nje yenye influence na politics za maziwa makuu, tell them what you think Tanzania is ought to be, hakuna sababu ya kujifungia Ufipa na Mtendeni kama watoto yatima, tell the world know what is happening in Tanzania.

Tafuteni mapema misaada kwa vyama na nchi marafiki ili kujiandaa na uchaguzi wa 2020 acheni kutegemea ruzuku, nani akupe ruzuku ili umshinde, mlishaambiwa mapema kuwa serikali haiwezi kuondoka kwa kipande cha karatasi ya kura.

Uoga wenu ndio kushindwa kwenu.

Politics is beyond ballot box.

By, Mwana JF mzoefu Quinine.
Hivi ikitokea 2020 baada ya Chadema kuwakimbiza CCM. Tume ya Chaguzi itoke huko na matokeo TLP- Mrema kashinda urais na hiyo utahesabia upinzani umeshinda?
Kilichoteka DRC nichakukemea siyo kusifia.
 
Back
Top Bottom