- Thread starter
- #21
Hizo ni hisia.Acha kukurupuka, upinzani halisi umepinga matokeo. Kabila kafanya yake na Chisekedi ni mshirika wa kabila
Unafahamu historia ya Marehemu Kabila sr na Marehemu Tshisekedi sr kwenye siasa za Kongo.
Hizo ni hisia.Acha kukurupuka, upinzani halisi umepinga matokeo. Kabila kafanya yake na Chisekedi ni mshirika wa kabila
Angalau umeongea kitu, lkn CCM ni ile ile.Katika mbinu ambayo CCM imeitumia kuendelea kuwa madarakani ni kubadili wagombea na mwenyekiti. Hii inasababisha hichi chama kiwe kama ni muunganiko wa vyama vingi ndani ya chama kimoja. Siasa zao zinabadilika badilika sana. Embu angalia CCM ya magufuli Ilivyo tofauti na CCM ya kikwete. Utasema ni vyama tofauti kabisa. Jaribu kuvuta picha CCM ya mtu mwingine wakati utakapofika labda ccm ya Membe au ccm ya makamba nayo itakuwa tofauti kabisa na ya Magufuli. Sasa ukichukua hili + sapoti ya Jeshi + usalama wa Taifa hivi upinzani unachomoaje?
Ndio ni Ile Ile.Angalau umeongea kitu, lkn CCM ni ile ile.
huko kubadilika kwa uongozi ndio kuendana na mazingira ya sasa ya kisiasa , kijamii na kiuchumi. vyama vya kifalme( CHADEMA) huwa haviitaji kubadilika kwa sababu mfalme hana mwisho wa kutawala ila ana mwanzo tu ndio maana hawasumbuki na mabadiliko yeyoteKatika mbinu ambayo CCM imeitumia kuendelea kuwa madarakani ni kubadili wagombea na mwenyekiti. Hii inasababisha hichi chama kiwe kama ni muunganiko wa vyama vingi ndani ya chama kimoja. Siasa zao zinabadilika badilika sana. Embu angalia CCM ya magufuli Ilivyo tofauti na CCM ya kikwete. Utasema ni vyama tofauti kabisa. Jaribu kuvuta picha CCM ya mtu mwingine wakati utakapofika labda ccm ya Membe au ccm ya makamba nayo itakuwa tofauti kabisa na ya Magufuli. Sasa ukichukua hili + sapoti ya Jeshi + usalama wa Taifa hivi upinzani unachomoaje?
Hufahamu katika siasa rafiki wa leo ni adui wa kesho na adui wa leo ni rafiki wa kesho? Fuatilia international news ujioneeHizo ni hisia.
Unafahamu historia ya Marehemu Kabila sr na Marehemu Tshisekedi sr kwenye siasa za Kongo.
Mtawala hana rafiki once upinzani umeshika madaraka Kabila na chama chake hawana nguvu yeyote tena.Hufahamu katika siasa rafiki wa leo ni adui wa kesho na adui wa leo ni rafiki wa kesho? Fuatilia international news ujionee
You wait and seeMtawala hana rafiki once upinzani umeshika madaraka Kabila na chama chake hawana nguvu yeyote tena.
Nadhani Chadema angalau wanabadili wagombea. Mwenyekiti kutobadilika nadhani ni njia ya kuimarisha chama. Nyerere alikuwa mwenyekiti kwa mda pia kwa ajili ya kuimaisha ccm. Chadema kinahitaji kukua.huko kubadilika kwa uongozi ndio kuendana na mazingira ya sasa ya kisiasa , kijamii na kiuchumi. vyama vya kifalme( CHADEMA) huwa haviitaji kubadilika kwa sababu mfalme hana mwisho wa kutawala ila ana mwanzo tu ndio maana hawasumbuki na mabadiliko yeyote
hakuna upinzani kubanwa wala kubaniwa, ila ni matokeo ya kujitengeneza kuwa vyama vya kifalme( kiongozi/ mwenyekiti wa chama hana mwisho wa kumaliza ) na watanzania hawawezi kukubali ufalme na uchifu urudi Tanzania kwa mfumo wa kisiasa. chama cha siasa tanzania kipo kimoja tu nacho ni CCM
Ukisikia akili finyu ndio hizi, wazungu hua wanaingia mkishalianzisha, Libya, Yemen, Egypt waliwaambia anzeni kupigana kwanza kisha tutawapa silaha lakini kwa makubaliano maalum (maliasili)Ndo maana sasa upinzani una mahusiano mazuri na EU pamoja na USA. Dhamira ni kuliangamiza hili joka linalotutafuna (Jiwe) ifikapo 2020.
Tunachosubiri ni kuapishwa kwa Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo mengine ni historia huku chama tawala kikishika nafasi ya tatu.You wait and see
Ni mwaka wa ngapi ccm IPO tangu tupate uhuru? Na niviongoz wangap wakiopita was ccm? Yaan unaongea hata reasons kama hizi huna?ungejua kuitofautisha CCM na vyama vingine vinavyoweka wafalme madarakani , usingesema haya. kwa yaliyotokea Kongo , huwezi kufananisha na Tanzania na kwa Tanzania CCM tutaongoza sana mpaka tuseme basi kwa sababu :nia, uwezo na sababu tunazo.
Tofauti ya CCM na hivyo vyama vingine ni kwamba CCM inabadalisha kiongozi , hivyo ni vigumu kwa kiongozi kuchokwa na tunachagua viongozi waliobeba matarajio ya wananchi (mfano ni Rais Magufuli).
wananchi hawabadilishi chama kwa sababu wana mapenzi nacho, wananchi wanachagua chama kilichobeba matarajio yao kiuchumi, kidiplomasia, kimaendeleo na kijamii na kwa CCM ina hazina ya viongozi wenye mtazamo wa kubadilisha nchi na wananchi wake hivyo si rahisi CCM kuchokwa na kupelekea kuchagua upinzani wq matukio
Kwa akili yako unaamini kabisa mataifa ya nje yanataka wananchi wa DRC wawe na Rais wanayemtaka? Hivi hujiulizi ni kwanini DRC wanapigana miaka yote na wanapata wapi silaha? Waafrika tutaamka lini?
Mbona jiwe kakifuta kipengele cha kura za maoni na hataki kusikia hiyo nafasi ichukuliwe na mwingine!!! Hatimaye kumtolea macho membe baada ya kutangaza nia 2020 why?huko kubadilika kwa uongozi ndio kuendana na mazingira ya sasa ya kisiasa , kijamii na kiuchumi. vyama vya kifalme( CHADEMA) huwa haviitaji kubadilika kwa sababu mfalme hana mwisho wa kutawala ila ana mwanzo tu ndio maana hawasumbuki na mabadiliko yeyote
Nafikiri ndiyo wameanza kushituka walikuwa wanadhani sanduku la kura ndilo litawaingiza ikulu.Kongo siyo Tanzania, kwani unafikiri upinzani wa TZ hautaki msaada ktk nje? Wanautaka sana ila hawaipati. Tundu Lisu kila siku anashinda corridor za Muzungu hata kaenda kulazwa Brussels lkn hakuna kitu.
OP amekosea, anajenga hoja kwa papara, Kanisa Katoliki wala hali msupport msindi aliyetangazwa bw. Tishekedi, bali lina msupport bw FAYULU ambaye ametangazwa kushika nafasi ya pili...Acha kukurupuka, upinzani halisi umepinga matokeo. Kabila kafanya yake na Chisekedi ni mshirika wa kabila
Nafikiri ndiyo wameanza kushituka walikuwa wanadhani sanduku la kura ndilo litawaingiza ikulu.
Angalau sasa tunaona movements za kushirikisha jumuia za kimataifa.
Sakata la Spika na CAG: Barua yangu kwa Katibu Mkuu Mabunge ya Jumuiya ya Madola na Maspika na ma CAG Afrika - JamiiForums
Yupo obssesed na chama tawala! Hajui hata hapa Tanzania CCM Ikiona mambo mazito inatengeneza CCM B inaonekana mpinzani kumbe ni wale waleOP amekosea, anajenga hoja kwa papara, Kanisa Katoliki wala hali msupport msindi aliyetangazwa bw. Tishekedi, bali lina msupport bw FAYULU ambaye ametangazwa kushika nafasi ya pili...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje, binafsi siko affiliated na chama chochote almradi chama cha upinzani kimeshinda na siyo chama tawala kwangu ni sawa tu.Yupo obssesed na chama tawala! Hajui hata hapa Tanzania CCM Ikiona mambo mazito inatengeneza CCM B inaonekana mpinzani kumbe ni wale wale