Bila udikteta wenye akili Afrika hatutaendelea. Demokrasia ni mtego uliotunasa

Habar wadau,

Now niko Rwanda waungwana huyu Kagame Baada ya Miaka 20 kama Atakuepo hakuna nchi itakayomfikia. Tanzania na ukubwa wetu mpaka Sasa si kitu kwa Rwanda, Kigali ipo kama Ulaya vile kuanzia Huduma za umeme maji internet na mambo mengine kibao.

Nina imani Rwanda mpaka kufika hapa ni sababu ya Kagame na mfumo wa uendeshaji nchi.
Pia ningeshauri mataifa mengine yote tumuige na tuachane na Demokrasia sababu hata Ulaya na Asia hamna nchi iliyoendelea kwa kukumbatia Demokrasia ndio maana hata Adolf Hitler alipopewa Madaraka tu akawaambia kuwa ili Ujerumani iendelee lazima tusafishe wote wanaotupinga ili Tuijenge nchi.

Sio ujerumani pekee bali nchi zote kubwa Dunia mtakuja kuamini haya baada ya miaka 20 ya Rwanda
Huo ndio ukweli..waafrica tumejaza minyoo vichwani..ni wachache sana wenye ubongo..kagame ni mfano mmoja tu..jpm was the real deal hapa..ila wenye minyoo walikuwa wengi zaidi ya wenye ubongo..hivyoo alikuwa anapingwa usiku kucha..
But udikteta ni lazima kwa nchi yeyote ile.
Mwisho kabisa sio kila udikteta utafaa kuna aina ya udikteta tunaoutaka.
Mfano mzuri ni wa kagame, kwamba unapambana na wale wanaojiita vimbelembele..ila mwananchi wa kawaida anaejipatia ridhiki yake kwa uhalali huyoo atakuwa salama.
 
Fikra duni kabisa!

Nenda Botswana ukajifunze maendeleo halisi ya demokrasia na uchumi yalivyofikiwa. Rwanda na hiyo Kigali yako haiifikii Botswana hata kwa 50%.

Nenda kwenye nchi zinazoongoza kwa demokrasia, uhuru na utu kama Norway, Sweden, Finland na Dernmark, ukaone maana ya maendeleo.

Kalinganishe maendeleo ya Hong Kong na Singapore (nchi za kidemokrasia) na China ya kidikteta. Nchi zinazoongoza kuwekeza ndani ya China ni Hong Kong na Holand. Singapore wana msemo kuwa msingapore lazima afanye kazi ya ujuzi, kazi zisizo za ujuzi zitafanywa na Wachina na Wahindi.

Hizo nchi zote za udikteta, kwenye human development index, zipo chini sana. China ni nchi ya 89. Nchi kama China, ilichofanikiwa na kwenye mega projects lakini siyo kwenye maendeleo halusi. Wachina bado wana maisha duni. Viongozi wao wanazunguka Duniani kila leo kutafuta wawekezaji. Uwekezaji wa nje ndani ya China ni dila bilioni 80 kwa mwaka. Leo hii makampuni yote ya kigeni yakiondoka China, umaskini wa mao utarudi. Ndani ya makampuni 10 makubwa kabisa nchini China, kampuni ya China ni moja tu. Watu wengi hawajui kikichobadilisha uchumi wa China - ni uwekezaji mkubwa wa mataifa ya Ulaya na America baada ya wao kusalimu amri kuwa siasa za ujamaa si chochote, si lolote. China ni sawa na baba mwenye wake 10, watoto 50, kwa mwaka wanazalisha shilingi milioni 50, halafu kuna baba ana familia ya mke mmoja na watoto 3, wanazalisha shilingi milioni 20. Nani ana maendeleo makubwa?

Kalingamishe maendeleonya South Korea ya kidemokrasia, na ile North Korea ya kidikteta ambayo mpaka leo baadhi ya maeneo, wananchi wanahangaikia chakula. North Korea na South Korea, ambazo zote nilizifikia miaka 8 iliyopita, hakika ni sawa na mbingu na jehanamu (kwa kadiri ya simulizi za wanateolojia - japo sijafika).
The examples you give don't validates the accuracy of democracy. Hata sie tunaodhani demokrasia haifai pia tunayo mifano ya kutoa.

Listen, despite the political knowledge you have can you examine on how to turn our nation into the best nation we never had ?

Namaanisha tumia AKILI tuu ( make Full Optimisation on it ) ku'examine hilo bila maandishi yeyote whether ni katiba au Civics ukiambatanisha na OUR REALITIES ( Uvivu, chuki, Ujinga, Unafki, Mizaha nk ) unaweza ukatambua kuwa we need A SMART DICTATORSHIP to make Progress

Of Course we may have a demokrasia ya vyama vingi ila sio kwa sasa ambapo bado tuna sera ya nyumba ni choo, madawati ya shule na vtu kama hivyo.

There are a lot of things to tell.

Sijutii kumlilia MAGUFULI
 
Hata ukiwa boss wa kusimamia wafanyakazi wa Africa ni lazima uwe na kaudikteta flani hivi,tofauti na hapo,dharula za kuuguza na kwenda kuzika zisizoisha,ukiwapa mgongo wanaacha kazi wanachart,wizi,rushwa n,k.
Ha ha ha ha..hapo ndipo awamu ya 6 ita-fail.
 
Marekani ni Nchi iliyoendelea sana na ni Nchi ya Kidemokrasia ninyi Wanaccm ndio mnaolilia Udikteta Chama chenu kimekuwepo tokea Uhuru kama Chama kimoja mumeshindwa nini

Mnakuja na Id tofauti tofaufi na kuja kujaza ujinga Wananchi

Marekani ndio Nchi iliyoendelea na yenye Nguvu huenda kuliko zote bila ya Udikteta

Endeleeni kuchezea Kodi zetu ila kumbukeni KANU UNIP ziko kwenye kapu la Historia jitutumueni ila Mwisho wenu hauko mbali
 
Hakuna mtu atakae jisumbua kuwekeza kwenye nchi ambayo Mkuu wa wilaya anaweza kuamka na kufunga kiwanda au biashara ya mwekezaji Never ever.

Mamilionea wa China wanamiminika kununua uraia wa marekani kukimbia china.

Kukabizi nchi kikundi kimoja cha watu (chama) ni hatari ni hatari kuliko maelezo.

Socialism ni failed system mtajenga barabara na miundombinu badae mtaibomoa Kwa vita vy kupigania democrasia.
 
let people be free to choose their leaders and criticize them, let people do business and be richer and poor be poorer, let people do what they want to do without breaking law, let the media be free, let the courts be free, let the parliament be free

Nafikiri badala ya kuwa na UDIKTETA wenye akili Tuchague demokrasia yenye akili
 
" Mamilionea wa China wanamiminika kununua uraia wa marekani kukimbia china."
Kaka yangu amewahi kufika china na amekaa kwa kitambo kidogo.
Akasemaje ? akaniambia wachina ni watu wanaojisifia sana na nchi yao yani sana muda wote wanataja taja china china china. Sijui nimuamini nani ? ila inawezekana wewe ni muongo.
 
Hata ukiwa boss wa kusimamia wafanyakazi wa Africa ni lazima uwe na kaudikteta flani hivi,tofauti na hapo,dharula za kuuguza na kwenda kuzika zisizoisha,ukiwapa mgongo wanaacha kazi wanachart,wizi,rushwa n,k.

Tatizo ni mfumo mnaotumia kuajiri, mnaajiri wanawake wazuri wenye matako makubwa na vijana waliohonga kwenye usaili na ndugu zenu effeciency inatokanwapi? eti unamuajiri mtu awe lecturer kwa sababu ana GPA ya 4.5 Pumbavu

watu walioqualify wapo ajirini watu walioqualify let democracy live
 
Demokrasia inatakiwa kuja baada ya mifumo kuwa imekua imara na kujaribiwa umadhubuti wake.

Demokrasia ya nchi kama marekani ilikuja baada ya mifumo yao kuwa madhubuti
Huo ndio ukweli mkuu, sasa sisi watu wenyewe waliyo wengi uelewa wa mambo ni mdogo bado tuna watu wasiojua kusoma na kuandika sasa unafikiri hata hiyo demokrasia wanaeielewa? viongozi wanapotekeleza majukumu yao tena kwa kodi za hao hao wananchi ila wananchi wenyewe hudhani ni hisani tu kutoka kwa hao viongozi hawajui kama ni wajibu wao. Sasa watu kama hao demokrasia wanaijulia wapi? ndio maana baadhi ya vyama na wanaharakati huwa wanaonekana ni watu wa vurugu tu maana wananchi hawawaelewi.

Sasa sisi hii demokrasia inakuwa kama tunailazimisha.
 
Dikteta wa Maendeleo ndie tunamuhitaji, ambaye wafanyakaz wavivu na watoro watanyooka bila hata kuambiwa, mawaziri watawajibika kwenye wizara zao waziwazi mpaka kila wizara itajulikana kwa wananchi. Hatutaki madikteta wakujilimbikizia utajiri kwenye miji yao na kuwa wakali bila sababu za msingi.
 
Marekani ni Nchi iliyoendelea sana na ni Nchi ya Kidemokrasia ninyi Wanaccm nfio mnaolilia Udikteta Chama chenu kimekuwepo tokea Uhuru kama Chama kimoja mumeshindwa nini

Mnakuja na Id tofauti tofaufi na kuja kujaza ujinga Wananchi

Marekani ndio Nchi iliyoendelea na yenye Nguvu huenda kuliko zote bila ya Udikteta

Endeleeni kuchezea Kodi zetu ila kumbukeni KANU UNIP ziko kwenye kapu la Historia jitutumueni ila Mwisho wenu hauko mbali
Sasa Demokrasia ndio iliyoleta maendeleo Marekani au unzungumzia tu nchi zilizoendelea zenye demokrasia?
 
Sasa Demokrasia ndio iliyoleta maendeleo Marekani au unzungumzia tu nchi zilizoendelea zenye demokrasia?
Kasahau kua marekan baada ya uchaguzi wangeendekeza Demokrasia ya kumuacha Trump aropoke ropoke unafikir marekan ingekua kwenye Hali Gan mpaka Sasa kama watu waliweza kuandamana mpaka kuingia ikulu na bungeni Leo wangekua wamefika wap alafu uku kwetu wao ndio kimbele mbele kua faten demokrasia msiminye vyombo vya habar alafu watu mnakenua meno mnapewa demokrasia kumbe mnazikwa trump mpaka Leo acha Twitter na mitandao ingine Yan hawezi hata ku like status ya mtu
 
Yani itakua aibu kwa nchi kama Rwanda haina chochote ila inakimbiza kipind sis tunawapa simba watangaze visite tz Rwanda wamelipa premea league na kila mech ukiangalia kwenye bango lazima uone visite Rwanda
Vipi hakuna machinga na mama lishe wanaotandaza bidhaa zao hadi barabarani hapo Kigali? Rwanda itakuwa haina wanyonge!
 
Kaka yangu amewahi kufika china na amekaa kwa kitambo kidogo.
Akasemaje ? akaniambia wachina ni watu wanaojisifia sana na nchi yao yani sana muda wote wanataja taja china china china. Sijui nimuamini nani ? ila inawezekana wewe ni muongo.
Jamaa ni muongo Kuwango cha Lami yaa machina ni viumbe tofouti sana hasa linapokuja swala la utaifa wa nchi yao
 
Marekani ni Nchi iliyoendelea sana na ni Nchi ya Kidemokrasia ninyi Wanaccm nfio mnaolilia Udikteta Chama chenu kimekuwepo tokea Uhuru kama Chama kimoja mumeshindwa nini

Mnakuja na Id tofauti tofaufi na kuja kujaza ujinga Wananchi

Marekani ndio Nchi iliyoendelea na yenye Nguvu huenda kuliko zote bila ya Udikteta

Endeleeni kuchezea Kodi zetu ila kumbukeni KANU UNIP ziko kwenye kapu la Historia jitutumueni ila Mwisho wenu hauko mbali
Demokrasia ipi io marekan kungekua na Democrasia saiz ingekua kama Libya sababu wafuas wa trump na trump wao wangepewa demokrasia saiz kungekua na vita
 
JPM amejenga uwanja wa ndege Chato kijijiji kwake kweli leo unasema udiktata ni jambo zuri??

Hapana!!!!

kwa mambo kama haya hata tumwogope Mungu!!!

Back
Top Bottom