Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,006
- 14,213
Kwa ujumla tumeona wanaoimiliki sisiemu na kwa nini abdueli alitumwa akamnunue Simba, walipoona hanunuliki wakahamia kwa team mwamba waliopokea wakapokea na yakatokea yaliyofuata hadi chama kilichokua kinamiliki sufuria za ubwabwa tu leo kina maviete ghafla
Wamemshindwa kumbeba na kummliki simba na sasa wanataka anyongwe aondoe "nuissance" kwa mabilionea walaji wa mama na deals zao! Kwa aliyejua sethi singa ni mhujumu mmepata ujumbe sasa, mlijidanganya sana. RIP jiwe nimeelewa sasa alivyosema vita ni kali mno mbaba wa watu, tukampuuza japo alikuwa dikteta uchwara
Anyway washereheshaji wa jf kina tilalila na mwashamba na wengine karibuni sana mje kupumua kwa nyuma mkishiba kande kule kwa bibi zenu wanaovuna mchicha, wakati wenye chama chao wanavuna mabi/trilioni!
Kuna kesi ingine imefunguliwa International Court of Arbitration ulaji unatengenezwa kama kawaida ulaji kwa mlango wa nyuma! Wakishapiga wataongeza fungu la ushindani wa mama na mwalimu, wakilindwa na wambura na mikwara yake na manguvu na vitisho!
Maskini mama tanzania😡