Bila shaka madereva ndio wanaoongoza kutukana

Bila shaka madereva ndio wanaoongoza kutukana

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,775
Reaction score
994
Road-Rage-intro.jpgRoad-Rage-5.jpgRoad-Rage-9.jpg
 
Kuna kaukweli hapa ila sijui umewalinganisha na kundi lipi ili tujiridhishe kwamba mshindi alipatikana kwa haki!
 
makuli wa bandarni na vibarua wa TANESCO JE?

Makuli na mafundi wa tanesco kutukana kwao hawamaanishi, ni km kutiana morali tu, ila dereva anatukana kutoka moyoni, hata kukunjana ni kawaida kabisa, na inakuwa ni kisa kidogo tu, km marehem Ditopole.
 
Uweli ni kwamba hakuna anaeweza kuwazidi matusi vibarua wa Tanesco ila matusi yao ni kuhamasishana ktk kazi,ila dereva daa!!ukimla kachenga kamoja tu,tusi kilo 100.
 
Bongo uendeshe kwenye foleni hizi au rush hour usitukane mtu?
 
Back
Top Bottom