Bila kumuondoa madarakani Benjamin Netanyahu ataiangamiza dunia

Bila kumuondoa madarakani Benjamin Netanyahu ataiangamiza dunia

kuharibika kwa dunia na mpaka kwetu athari zitatufikia kwani,mataifa mengi yataingia vitanda,ukacwa bahari unaopitisha meli zenye bidhaa kuha huku kwetu utaathiriwa na vita,bidhaa zitakuwa hazipatikani,zitapanda bei,mfumo wa kibiashara utaathiriwa huku pia tutaathirika,ndio maana tuombe hii vita isipanuke,isuluhishwe
Sio rahis kihivyo
 
b
Next time usianzishe ugomvi wakati unajua huyo unae mchokozq huna uwezo hata wa kuvunja dirisha la nyumba yake. Kabla ya October 07, 2023 wote walikua wakiishi kwa amani, hata sie tukaamua kupeleka vijana wetu kule kwenda kusoma, October 07 imeharibu kila kitu. Tuwalaumu Hamas na Iran for their poor calculation. Sioni tena kama Gaza itakuja kua chini ya any Palestinian regime, sioni tena hilo likitokea, doesn't matter bibi aendelee kua PM or not
Bibi anawawahisha kwa mabkra
 
Rudisheni watoto wa Wayahudi, mnapaswa mfahamu Wayahudi walipambana na miungu akina Baal kabla ujio wa Allah wenu.
 
KInachotutesa katika huu mgogoro ni Udini! Mimi ni Mkristo ila nimekubali kujifunza kuwa Israel ndiye muhuni No. 1 hapa Duniani.

Kama mlijua Israel ni mhuni mbona muuwe watu wao na kuchukua watoto wao mateka, Myahudi huwa ana uchungu sana na damu yake na anaweza akaipasua dunia kama itambidi.
Kuna mmoja aliitwa Samson aliangusha nguzo akafa na watu wengi sana, temaneni na Myahudi, kuua watoto wao nanyi mkae mkao wa kufa.
Nyie ueni Wakristo kule Nigeria maana ndio wanyonge wenu ila achaneni na Myahudi.

Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.

This led to:

They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.

Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
 
Aliyekuambia walikuwa wanaishi kwa aman ni nani .. au kwa kuwa haionheshwi kwenye bbc manyanyaso waliokuwa wanayapitia wapalestina
 
Hamas wala hawajaanzisha ugomvi,
upo level moja na Allah waongo wakuu
Hamas wapo pale kutafuta uhuru wa nchi yao kama wakina Karume na Nyerere na Mandela unaowasoma leo vizuri kwenye vitabu basi nao walipita njia hizihizi za Hamas,
Israel sio nchi ya Waarabu... Arab kwao ni Arabian Peninsula.. punguza upumbavu wako.. Hamas ni Arabs namba wanaongea kiarabu Israel historia zote ni nchini ya Wana Israel Quran na Biblia zinathibitisha.. hao Arabia waliovuka mpaka namba wengine walipelekwa na Caliphate Umar na wengine manamba wa Ottoman empire ndio waseme Israel ni nchini yao.. pelekeni upuuzi misikitini pakee namba sio kwa public. Eti unafananisha na Mandela mwenu wewe
nakukumbusha tu kuwa Hamas imeanzishwa hapo majuzi tu ata miaka 40 haina ila mauaji ya Wapalestina yalianza miaka ya 1910+.
Huna tofauti na Aljazeera kasome historia ujue nani alianzisha mauaji ni Arabs mnadhani hamna anayejua kila siku mmnamsema Israel anawaua ukweli utabiki hadi kiama chenu.. dhamira yenu muwaangamize wayahudi mmeshindwa tokea miaka hiyo mnaishia kupigwa nyie.. Quran Allah alimuambia Nabii Musa kuwa apigane nanyi hadi kiama. Nyie endeleeni kureport mnavyopigwa tu na nyamazeni kusema mnapolianzisha ili tujue mnaonewa sababu ni wanafiki.. mnalamika victims kwa makosa mliyoanzisha wenyewe..
Ukipata muda soma kitu kinaitwa "The Great Israel" uone mission ya Israel kuwa Taifa kubwa, kwaiyo hapa ni suala la muda tu ila kwa ukanda ule wataonewa wengi.
Sio kuonewa Zion is true Israel Lazima irudi kama zamani ni Dini zenu ndio zimetabiri.. so kawalaumu miungu
Kwaiyo tusimgeuze mtu ambae anaonewa kuwa mkosefu pale anapotafuta haki yake.
Arabs haki zake zipo Arabian Peninsula sio Holly Land of Israel. Kamuulize Allah...

Arabs wamevamia nchi nyingi sana kisha wanajiona ni zao, Misri,Algeria,Morocco,Maurtania,Syria,Lebanon n.k Spain waliivamia na jina wakabadilisha wakaiita Andarusia.. wazungu wakaona kashfa wakawafurusha hadi machotara wa kizungu na kiarabu
 
Hamas wala hawajaanzisha ugomvi, Hamas wapo pale kutafuta uhuru wa nchi yao kama wakina Karume na Nyerere na Mandela unaowasoma leo vizuri kwenye vitabu basi nao walipita njia hizihizi za Hamas, nakukumbusha tu kuwa Hamas imeanzishwa hapo majuzi tu ata miaka 40 haina ila mauaji ya Wapalestina yalianza miaka ya 1910+.

Ukipata muda soma kitu kinaitwa "The Great Israel" uone mission ya Israel kuwa Taifa kubwa, kwaiyo hapa ni suala la muda tu ila kwa ukanda ule wataonewa wengi.

Kwaiyo tusimgeuze mtu ambae anaonewa kuwa mkosefu pale anapotafuta haki yake.
Acha kufananisha mambo ya akina Karume, Nyerere, Mandela na vitu vya kipumbavu
 
Hatoingamiza dunia, usihusishe dunia kwenye migogoro ya watu wengine.
Kila nchi ina matatizo yake, kila mtu apambane na lakwake
Ww hujawahipo kusaidiwa hata thumni ukipata shida je uliachwa upambane na lako au shule ulienda kusoma ujinga
 
Acha kufananisha mambo ya akina Karume, Nyerere, Mandela na vitu vya kipumbavu
Kama unahisi kupigani uhuru wa Taifa ni jambo jepesi basi kaa tulia, ila usisahau kuwa Mandela alikuwa matika List ya Magaidi akaja kitolewa katika list hiyo miaka 2000, Marekani ikimtambua kama Gaidi unajua kwanini? Kipindi wanapigania Uhuru walipoona mambo hayaendi waliunda vikundi vya kijeshi kukabiliana kinguvu na Walowezi.

Hapo usisahau Yasir Arafat alijaribu sana na PLO kudai uhuru wa Palestina, ilifika hatua wakasaini mpaka na mikataba huko Washington na Waziri Mkuu wa Israel wakati uo Yitzhak Rabin, Wayahudi wenzake Rabin hasa hiki chama cha Benjamin Netanyahu wakaona hapana! Rabin unataka hawa watu wawe na Uhuru? Wawe Taifa kamili? Hauwezekani wakamuua Rabin akiwa waziri mkuu wa 1 wa Israel kuuawa akiwa madarakani, Tangia hapo hiyo mikataba ikafa na hakuna aliejaribu tena kufanya makubaliano ya amani na Palestina huku Israel ikiendelea kujitwawalia ardhi ya Palestina.

Sasa tunaona mezi ya mazungumzo ilizimwa na wahafidhina wakiyahudi, mnataka Wapalestina wafanye nini? Waacheni waendelee kupambania Uhuru wao kwa jasho na damu.
 
Israel sio nchi ya Waarabu... Arab kwao ni Arabian Peninsula.. punguza upumbavu wako.. Hamas ni Arabs namba wanaongea kiarabu Israel historia zote ni nchini ya Wana Israel Quran na Biblia zinathibitisha.. hao Arabia waliovuka mpaka namba wengine walipelekwa na Caliphate Umar na wengine manamba wa Ottoman empire ndio waseme Israel ni nchini yao.. pelekeni upuuzi misikitini pakee namba sio kwa public. Eti unafananisha na Mandela mwenu wewe
Mkuu kwani wewe asili yako wako? ilo kabila lako lilitokea sehemu gani miaka hiyo? Nani alikuambia kuwa Israel ni sehemu ya waarabu? Unajua kitu kinaitwa Oslo Accords? Naomba nikukumbushe hapo unapoishi hakuna sehemu yeyote katika Biblia imekuambia kuwa hapo ni pako, ni sheria ndizo zimekupa hapo na je! akija mtu akakuambia ameambiwa na Mungu kuwa ilo eneo unaloishi amepewa yeye na Mungu utampisha? au tu leo ukienda pale Magomeni Kanisani ukaaawambia Mungu amekuotesha au Yesu kakutokea usiku kakuambia uwaambie wakupishe ata kama kweli umetokewa unafikiri watakupisha? mwisho wa siku watakuitia Ambulance upelekwe Milembe tu! ila naomba nikuambie kuwa mimi sio Muislamu.
1745139152032.png
 
Back
Top Bottom