fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,490
- 10,108
Huu mjadala una madini sana ikiwa tutatokea kujenga hoja bila kukashfiana. Kila mtu kwa upande anaosimamia aongee facts zake na mwenzake akosoe kwa anavyojua yeye. Matusi sio suala jema na wala haikupi heshima humu jukwaani kwa tusi lolote utakalosema. Kwa uzito wa hoja zinatoka kila upande ni dhahiri wote ni wasomi wazuri sana ila nashindwa kujua tunashindwa nini kukubaliana kutofautina katika mitizamo mbalimbali?