wamuibie nani chama chenyewe kipo kanisani
Hii habari siyo ya kweli kabisa
Hii habari siyo ya kweli kabisa
atiwm52 = mwita25
Naona sasa umeamua kutanguliza makalio, kweli choo cha train hakina chember..
kuna jamaa yangu kaniambia cdm walijaza watu mpaka barabara ikawa haipitiki. Kama kawaida mgombea wa cdm ni kijana,hivyo watu wanamkubali na kumsapoti.
Hii habari siyo ya kweli kabisa. Wewe ndiyo mwongo habari ndiyo hiyo! Njombe mambo yanawaendea kombo jamaa zetu magamba! Nipo njombe nitaendelea kuwajuza
Kura zingekuwa zapigiwa hapa...ningesema umesema kweli...
atiwm52 = mwita25
Naona sasa umeamua kutanguliza makalio, kweli choo cha train hakina chember..