Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,353
Ipende tu mpendwa lkn ukirudia huu msemo Mara kwa Mara utaona kumbe ni kwann unalilia dhambi kwelwaooooooh nimeipenda
Ipende tu mpendwa lkn ukirudia huu msemo Mara kwa Mara utaona kumbe ni kwann unalilia dhambi kwelwaooooooh nimeipenda
STAKI KUAMINI[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nikiudhiwa na mtu Tu nalia ,sembuse mupenzi
Aliolewa na mtu mwenye HIV bila kupima ,amezaa na anaendelea kutumia ARVsHaaahaaa,.. Pole sana dear.. Eti alikuwa na roho mbaya sana, aaahhhhaaa... Thanks...
STAKI KUAMINI[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
duh aisee mpaka nakuhurumia hamtakiwi kukaa bongo maana bongo likipita saa moja hamna aliyekuudhi shukuru munguHahahaha..... Itabidi uamini
Oh Lord... Hayo ndio malipo ya kukufanyia roho mbaya.. Pole sana.. Ame skip mkojo , and she stepped on kinyesi .. God help us .. I hope she found you and apologize to you.. Pole sana ... Thanks..Aliolewa na mtu mwenye HIV bila kupima ,amezaa na anaendelea kutumia ARVs
Roho inaniuma sana nikimkumbuka![emoji22] [emoji22]
Nakwambia na mijicho hii mikubwa mbona ungenionea huruma!!duuuh kama nakuona hv