Go mi num
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,321
- 1,615
Kwakweli mada imenigusa sana mimi mara ya kwanza nililia sana jamani yaani nililia mpaka nkajishangaa machozi yametoka wapi aisee maana nahisi nilijaza kisado alafu hapo ndio nlikuja kumjua rafiki wa kweli na kumbe nilikuwa mezungukwa na wanafiki kuzidi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] na nilipojua wamekuwa wakinichora muda nkalia tena Yaani nkafungulia na koki ya machozi nikikumbuka huwa nacheka sana hasira zilipoisha nikawa vizuri tu mpaka leo huezi nikuta nalialia kisa mapenzi