Bila kudanganya, ulishawahi kulia sababu ya mapenzi?

Bila kudanganya, ulishawahi kulia sababu ya mapenzi?

Nikiudhiwa na mtu Tu nalia ,sembuse mupenzi
 
nimelia sana ila siku hzi sijui nimekuwas sugu.? yani hata chozi la kuzuga sina tena
 
Mapenzi ni chombo cha moto, yanahitaji lesseni kama inavyotakiwa ukitaka kuendesha gari.
 
Raha ya mapenzi kuumizwa.maumivu ya mapenzi yanatest ake ukikubali kuyapokea
 
Back
Top Bottom