Bila kudanganya, ulishawahi kulia sababu ya mapenzi?

Bila kudanganya, ulishawahi kulia sababu ya mapenzi?

Mara kibao tuu mbele ya kulilia Nyapu usifanye mchezo.. Na nnavyojua yaani hata wewe Valentina usishangae ukahurumia
 
Ulie kwa wanawake hawa hawa wa Dar au wengine?Kama unalia kwa hawa basi utakuwa unalia kila siku kila saa!
 
labda mapenzi ya baba kwa mwana, au mama kwa mwana ...

Haya ya kulilia mtu usiyemjua ni ngumu kidogo..
 
Mie naona nishalia sanaaaaaaaaa lakini sasa BASI imetosha nimekua na moyo mgumu sikuizi mpaka najiuliza ivi nimimi kweli yule aliekua analia anaesema usijali tutatengeneza kila kitu kitakua sawa,leo hii hata nikikumbuka nacheka,na wale walioniliza
wanalia wao tena bila aibu...
duuuh kama nakuona hv
 
Teh me naomba tu niendelee kulia. Machozi yananisaidia sana, kama nina hasira au maumivu yanaondoka fasta tu nikilia na hata moyo wa kusamehe unakuwepo. Bila hivyo mambo hayaendi kabisaaa
Sasa dadaa utaendelea hivi mpaka lini mwishoe utapata pressure mapemaa....
 
Back
Top Bottom