Bikra is Overrated

Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.
Sijajua, bali nimekuuliza je, limeku iritate?
That deduction will assist more understanding of this topic.
At what age did you lose your virginity?
Siku nyingine kuwa objective mpuuzi weye..hujaona wanaume wakishusha points huko juu,,, of all the time you stayed in jf this is your reasoning?!
 
Kama ambavyo mnaona fahali kuwa na mwanaume mwenye pesa mali na kila kitu

Vivyo hivyo mwanaume mwenye pesa akiwiwa kuwa na mwanamke bikra ni sawa..
Wala isionekane overated , maan hata sisi kwa hoja zako tutakuona overrated
Vipaumbele vyetu wanapata sukari , ila vyakwao, aaaaaah
20260515_173003.jpg
 
Mimi sijawahi tafuta bikra, huwa nazikuta kwenye safari bila kuzitarajia. Kama hiyo ya mwaka jana jijini Dar, alienda chuo kutoka mkoani amekaa chuo 2 years mjini na hakai hostel ila bado anayo. Na niliamua kuiacha sababu alikuwa ananiganda mume mume wakati sina uhakika na hilo.
Huwa unakwenda kwa mnganga yupi katika harakati zako?

Huenda nyota yako haijaibiwa na kwamba wezi wametoroka na yangu.
 
Second bikira inatolewa siku moja, sio kwamba itaota kila siku, inatoka siku moja then una realise umebeba mtu mzigo huna chemistry nae, sio rafiki yako..hamna chemistry baada ya hapo ..mtuambie nyie mliioa vijijini is it worth kukaa na mzigo kama huu kisa tu bikira ya siku moja?!
Ubaya wa kuoa dem asie na bikra, unakua hujui idadi ya wahuni walio mkojolea halafu ndio anakua mkeo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom