Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.
Kweli jamii ya zamani sikuwepo, ila kupitia masimulizi na output ya vizazi vilivyo lelewa na wao vilikuwa vinajua thamani ya bikra.

Hujanijibu hili swali....

"Mnasema kwamba mwanaume anakushawishi. Okay mfano nikija hapo nikakushawishi unipe milioni moja utanipa?"

Nataka nipime akili na utashi wako,kama unautumia wakati wa kuvuka barabara au unautumia kufanya maamuzi ya kiroho na kimwili ktk maisha yako.

Siku zote bikra haitokuja kushuka thamani, wanaume tunapenda purity na bikra ni kielelezo. Sio hivyo hata kwa dada zetu huwaga tunawamind wakidate hovyo hovyo, hata watoto wakiume walilolelewa na single mother huumia akiona bi mkubwa wake hajatulia,hata dingi huwa mkali kwa binti yake akiwa waluwalu,yaani utake husitake kwa mwanaume purity ndio kila kitu,ndio asili yetu na hipo hivyo huwezi ibadili.
 
Endelea kusaka mwaya..

Kuna mtu hapo juu kasema bikira sawa na LC300, unayo?? Au na wewe ni kapuku??
Punguza hasira, kama uliuza kwa chips za buku mbili kwa bodaboda usilielie kwamba wengine hawana. Wewe kubali tu matokeo huna. Mwanaume hajaumbwa bikra.
 
Achana na issue hizi.
Tushushie nondo za mizinga, ICBM, Ndege vita na mibunduki.
 
Wewe ushatolewa bikra na boda boda kwa chipsi kavu za buku jero kaa kimya.
 
Halafu sijui kwanini hawasemi, unakutana nayo tu chumbani.
 
Mpuuzi tu weye
Wacha bangi zako, bikra Yako ibanduliwe na boda huko alafu uje kututengenezea uzi hapa eti bikra ni overrated?, Shenzi kabisa. Ni overrated kwako tuliowakuta nazo tunawaheshimu sana sio nie viruka na njia hata uwe mzuri vip na shape vipi kama boda alitoa kwa viepe vya buku tatu you're totally meaningless.
 
Wanaume wana mambo mengi kichwani,kuwaletea mada hii ni kuwachokoza mpenzi

Japo kuoa bikra ni muhimu sana,binti asipokengeuka na vijana wa mjini anakuwa hajui kitu kuhusu sex nje ya mumewe hivyo kumweshimu mume inakuwa ni 99%
Ubikira ni uchaguzi na hali ya mtu binafsi, lakini hauwezi kutumika kama kipimo pekee cha heshima, uaminifu au uwezo wa kuwa mwenza mwema. Heshima katika ndoa hujengwa na maadili, uaminifu, mawasiliano, upendo na kuwajibika kwa pande zote mbili.

Vilevile, uzoefu au kutokuwa na uzoefu wa mahusiano ya kimapenzi kabla ya ndoa hauhakikishi kwamba mtu atamheshimu au hatamheshimu mwenzi wake. Hayo hutegemea tabia na maamuzi ya kila mmoja.
 
Kwendaaaa

Andika mashudu yako..ukimaliza kakojoe ukalale...kenge we!
 
Mkuu vipi wapo huko lake zone mabikra?
 
Kamtafute bodaboda aliyekudungua akuoe. Wanaume wanaojielewa wamekubaliana kuwa hakuna kuoa makapi kama wewe.
Wewe ndio mshamba..

Kama unadhani wanaoolewa pale St Joseph na makanisa mengine wana bikira then you are stupid!

Kisha usinizoee kenge we!
 
Wewe ndio mshamba..

Kama unadhani wanaoolewa pale St Joseph na makanisa mengine wana bikira then you are stupid!

Kisha usinizoee kenge we!
We uliwapima ukajua hawana?. Wewe huna huna katafute boda aliyechukua mzigo akuoe usitupigie kelele. Siwezi zoea mtu ambaye bikra aliwapa bodaboda kwa viepe vya buku mbili, Ili unisaidie nini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…