BIKO mbona mnatapatapa kujenga kuaminiwa??

BIKO mbona mnatapatapa kujenga kuaminiwa??

Hua nawaza kwanini wiki moja wasiamue milioni mia wasimpe mtu mmoja ila waigawe kwa watu mia mbili wapate laki tano tano,hii itawafanya kujenga imani kwa watu wengi kama ni kweli wanataka kujitangaza
 
Acha uongo wewe....biko mshiko njenje..... unalala hutakwi unaamka unatakwa....unalala masikini unaamka tajri...
acha kulia lia cheza biko
halafu anaesinda lazima aseme huwa nacheza mara nyingiiiiii, eti chek bahati yako
 
Mi ninachoshangazwa na hawa jamaa! Kila mshindi anapoulizwa atafanyia nini hela utaskia 1. Ujenzi wa Nyumba! 2. kuongeza mtaji wa biashara! hakuna ambae hana wazo la mradi, utasema wastaafu na pesa zao za pension!
 
nchi yetu kutoka serikali ya ukweli na uwazi ilikuwa na vikundi ya upatu .utawala huu wa viwanda ndio unaongoza na vijikampuninvya kubahatisha kubeti na vimashine fulani vinaitwa mchina .mi majina sijui ila ngoja waje wanaojua vizuri watanisaidia.
 
Back
Top Bottom