and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,517
- 40,357
BIKO mna wasi wasi gan kama mnayoyafanya ni halal? Mbona viroja kila siku? Mara kashinda mume halafu mke ndo anashukuru. Kashinda BIKO mjukuu then bibi ndo msemaji mkuu. Tumestuka! Tafuteni mbinu mpya