Bigirita What Happened my Brother


Well Said Mkulu big up watarudi tuuuuuu
 

Unajua hizi tabia huanza udogoni. Mtu anaendeleza hizo tabia hadi uzeeni. Hata maofisini wapo!!
 

Mkuu, na mi nifundishe bana namna ya kugonga seksi tano kwenye positi moja
 
Sasaa, nimekwama mwenzenu.

Mimi ndiye niliyeanzisha hiyo sredi kule ukanda wa gaza, nikaiacha nikaendelea na mambo mengine. Kumbe baadaye watu wamekuja kuchongeana!

Naomba msaada sasa kwa sababu akili yangu finyu.

Sokwe maana yake nini? Kwa nini mtu apigwe bani kwa kumkweza mwenzake kwamba anafanana na sokwe? Je, hii si ni kuwadhalilisha sokwe ambao hutukuzwa na kuhifadhiwa kwa garama kuliko mimi na wewe? Hawa sokwe wangeweza kuwapata hawa modis si wangewararua?
 
maria roza mpe salam zangu,mwambie nammiss
Me feeling ya on behalf of Bigie,
Bigie anasema akitoka kwa Maria rosa atakuwa super kwenye sector husika, and he will definately land back to you.
 
Mambo poa baba, mkoloni kanivuna sana leo. Nipeni jibu bana sokwe ni nini
Sokweni siasa za maji taka
sokwe ni kiazi cha chama cha matapeli
halafu kinaliwa! halafu kitamu. halafu bila chumvi
 
hahahahahahahaa!!!
 
Dah ze Big my dear, me miss you vere vere!!!
Why, why, why......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…