Unajua maana ya slum kijana!?Dar slum haikosekani nakata rufaa
80% ya mji ni slum dwellers
Bongo kuna unplanned settlements sio slums.Kama sijaona takwimu za slums za bongo huuu ni uooongo
Shida mkuu watu hata maana ya slums hawajui.Tanzania slums hatuna isipokuwa hatuna usimamiz wa mipango miji baadhi ya maeneo hayakutakiwa kukaliwa na watu lkn yanakaliwa na watu kama huko bonde la mto msimbazi najua wanaobisha wangeenda hata kibera wakaone slum ni nini au huko india
Kwa vigezo vya slum hizo hazijafikia kuitwa slums.Sijatembelea meneo yanoifikia kuwa slums kwa muda mrefu sana tangu nijikwamue, lakini Dar yapo ambayo ni haya
View attachment 3153466
Ila nilijenga mwana pale Mkolaninikiwa kati ya watu wa kwanza kujenga ikijulikana mjia utapanuka. baada ya miaka ishinini natano, Mkorani nilipojenga napo patakuwa Slum smuda wowote kwa vile viongozi wetu hawajui maana ya mipango miji kabisa. Niko mbioni kufikisha malalamiko yangu jiji ambapo kuna mtu amekuja kujenga kijumba chake kwa kutumia ukuta wa fense ya nyumba yangu kama ukuta mmojawapo wa nyumba yake kwa hiyo siwezi ku-maintain fense yangu tena. Nina mpango wa kubomoa ukuta huo usiko mmoja kabla ya kuujenga tena kwani ni wa kwangu ila kwanza ninataka mamla zijua jinsi slum zinavyojitokeza.
kweli myMtu mwenyeji anajua mazingira yakoje .ila nenda wewe Sasa..hlzo chochoro utapotea mchana kweupe🤣
Acha ujuaji dogo, yawezekana haujafika dar slumUnajua maana ya slum kijana!?
Dar Kuna unplanned towns sio slums.
Embu enda usome maana ya slums halafu urejee.
Inamaana wewe na jumuiya za kimataifa zilizofanya tafiti wewe una akili zaidi?
Usidanganyike na upya wa eneo. Hakikisha kumepimwa. Mji utaonekana mzuri mwanzoni kwa nyumba mpya. Ila baada ya muda unageuka slum kwa mbanano na ukosefu wa utaratibu.Sijatembelea meneo yanoifikia kuwa slums kwa muda mrefu sana tangu nijikwamue, lakini Dar yapo ambayo ni haya
View attachment 3153466
Ila nilijenga mwana pale Mkolaninikiwa kati ya watu wa kwanza kujenga ikijulikana mjia utapanuka. baada ya miaka ishinini natano, Mkorani nilipojenga napo patakuwa Slum smuda wowote kwa vile viongozi wetu hawajui maana ya mipango miji kabisa. Niko mbioni kufikisha malalamiko yangu jiji ambapo kuna mtu amekuja kujenga kijumba chake kwa kutumia ukuta wa fense ya nyumba yangu kama ukuta mmojawapo wa nyumba yake kwa hiyo siwezi ku-maintain fense yangu tena. Nina mpango wa kubomoa ukuta huo usiko mmoja kabla ya kuujenga tena kwani ni wa kwangu ila kwanza ninataka mamla zijua jinsi slum zinavyojitokeza.
Aiseeee Tandale ipi unaiseme wewe?Acha ujuaji dogo, yawezekana haujafika dar slum
Yaani Tandale,keko,jangwani sio slums? Yaani unatafsiri slum kwa tafsiri yako wewe? Punguza ujuaji dogo
Nina hati ya kiwanja na eneo limepiwa; slums zimejaa kwenye kwenye maeneo yaliyokuwa yamekusudiwa yawe wazi kwa sababu ni kwenye milima halafu hakuna udhibiti watu wanajijengea hovyo hovyo tu.Usidanganyike na upya wa eneo. Hakikisha kumepimwa. Mji utaonekana mzuri mwanzoni kwa nyumba mpya. Ila baada ya muda unageuka slum kwa mbanano na ukosefu wa utaratibu.
Dogo fika kwanza dar slum ndio tujadiliane naona wahadithiwa tu huko kwenu mpitimbi,kwa shemeji unaanfAiseeee Tandale ipi unaiseme wewe?
Kwa tumbo,mto wa ng'ombe,Kwa mtogole au Tandale ipi!?
Keko machungwa nyuma ya Kurasini Mivinjeni huko kote mimi nimelelewa.
Mie mtoto wa Temeke Kwa Azizi Ally sheli.
Hakuna kiunga ambacho cha Dar sijakanyaga.
Hiyo keko ndio usiseme,tena tulikua tunatembea Kwa miguu kutoka Kwa Azizi Ally tunaibukia makaburi ya Chang'ombe tunatokea Kibasila sekondari tunanyoosha maduka mawili Kwa nyuma tunakatia shule ya Yemeni kwenda keko Machungwa.
Kote huko Kuna makazi ya zamani sio slums.Makazi ambayo unaweza kuyaboresha pasi na kuyavunja.
Msimbazi inavunjwa au wewe hilo hulijui!?
Halafu acha kuniita dogo.
Umerogwa wewe.Dogo fika kwanza dar slum ndio tujadiliane naona wahadithiwa tu huko kwenu mpitimbi,kwa shemeji unaanf
Manzese wewe hupajui ingia humo ndan ndan ujionee mwenyewe aisee utashangaaUnaijua manzese wewe?hii inayochipua Kila siku hotels na vitega uchumi vya Kila aina?
Labda vile vijumba vya zamani vya urithi ndo umeona kigezo..haina sifa ya kuitwa slum
Vipi tandale ya kwatumbo,vipi mwananyamala kwa mtogoreBongo kuna unplanned settlements sio slums.
Umeona nyumba za mabati bongo!?
Umeona bongo watu wakiishi eneo moja ambalo na maji taka na dampo lipo katikati!?
Wewe kama sio mkenya utakuwa wa mbwinde Dar unaiona kwenye pichaAcha ujuaji dogo, yawezekana haujafika dar slum
Yaani Tandale,keko,jangwani sio slums? Yaani unatafsiri slum kwa tafsiri yako wewe? Punguza ujuaji dogo
Unaongelea Tanzania gani wewe mwehu ? ,Umefika Lindi ,Dodoma ,Singida huko ndani ndani ,Shinyanga nk ?Kenya wana uchumi mkubwa kuliko TZ, lakini wana maisha magumu kuliko watanzania. Juzi nilikuwa maeneo ya Makuweni na Kemana, kusini mwa Kenya, vijumba vya mabati pamoja na watu (waliokonda?) wembamba kama nyuzi za guitar vilitosha kunipa picha halisi ya maisha yao.
Mwananyamala somehow inabadilika.Vipi tandale ya kwatumbo,vipi mwananyamala kwa mtogore
Hiyo mikoa uliyotaja umewahi kuona nyumba za mabati tupu mkuu!??Unaongelea Tanzania gani wewe mwehu ? ,Umefika Lindi ,Dodoma ,Singida huko ndani ndani ,Shinyanga nk ?
Kwa ubishi watu wa aina hiyo!slams=slums. Slams inaleta maana nyingine kabisa😎