Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,130
- 12,863
Kwa bahati mbaya haipo...umezioma kibera na mathare hapo..Dar slum vp haipo?
Nimefanya Kazi Kibera kwa miezi mitatu maana 1999.. Kwenye programme ya FOOD FOR LIFE.. hulk hakuna kuchezeana aiseeTEN BIGGEST SLUMS IN AFRICA BY POPULATION!
-1. Kibera, Kenya π°πͺ: 700,000
-2. Mathare, Kenya π°πͺ: 500,000
-3. Ajegunle, Nigeria π³π¬: 500,000
-4. Shomolu, Nigeria π³π¬: 400,000
-5. Khayelitsha, South Africa πΏπ¦: 400,000
-6. Cazenga, Angola π¦π΄: 400,000
-7. Makoko, Nigeria π³π¬: 300,000
-8. Alexandra, South Africa πΏπ¦: 200,000
-9. Mukuru Kwa Njenga, Kenya π°πͺ: 100,000
-10. Agbogbloshie, Ghana π¬π: 80,000
Lakini Nairobi zaidi ya 96 percentage wanaishi kwenye slums ukiacha politicians wao maana Kwa Kenya bila kutoka kwenye family yenye historia kwenye politics hotoboi labda uende GulfDar slum haikosekani nakata rufaa
80% ya mji ni slum dwellers
KweliLakini Nairobi zaidi ya 96 percentage wanaishi kwenye slums ukiacha politicians wao maana Kwa Kenya bila kutoka kwenye family yenye historia kwenye politics hotoboi labda uende Gulf
Kama sijaona takwimu za slums za bongo huuu ni uooongoTEN BIGGEST SLUMS IN AFRICA BY POPULATION!
-1. Kibera, Kenya π°πͺ: 700,000
-2. Mathare, Kenya π°πͺ: 500,000
-3. Ajegunle, Nigeria π³π¬: 500,000
-4. Shomolu, Nigeria π³π¬: 400,000
-5. Khayelitsha, South Africa πΏπ¦: 400,000
-6. Cazenga, Angola π¦π΄: 400,000
-7. Makoko, Nigeria π³π¬: 300,000
-8. Alexandra, South Africa πΏπ¦: 200,000
-9. Mukuru Kwa Njenga, Kenya π°πͺ: 100,000
-10. Agbogbloshie, Ghana π¬π: 80,000
Zipo lakini siyo kubwa za kufikisha watu 80,000.Dar slum vp haipo?
Kabisa mkuu. Imagine huo mtaro unasimama hivo mizezi na miezi utakosa malaria na typhoid?Naona hakuna maradhi hapo wameisha kuwa sugu na kila ugonjwa hapo
Hivi nitajie maeneo ambayo yanaweza kuwa slums hapa dar...kigogo? Msasani?wapi?Zipo lakini siyo kubwa za kufikisha watu 80,000.
Labda zipo ndogo ndogo lakini Kwa hizo za wenzetu ni fungakaziKama sijaona takwimu za slums za bongo huuu ni uooongo
Ngoja wakushikeKweli
Vipi tuandamane waiweke kwenye list?Dar slum vp haipo?
Mitindo Yao ya Maisha ikoje humo?Nimefanya Kazi Kibera kwa miezi mitatu maana 1999.. Kwenye programme ya FOOD FOR LIFE.. hulk hakuna kuchezeana aisee