Goodluck C Mwinuka
Member
- Feb 19, 2015
- 76
- 10
Mi nimetoka huko jana,jina hilo lilinizingua sana hili,Simu 2000.
ebwana tena wireless ya pale ipo kasi hatari cjapata ona
Basi nitakuwa naenda hapo kushusha series na movies....