ngokowalwa
Senior Member
- Jul 22, 2011
- 154
- 23
Nimefunguka macho leo Kumbe kwenye NEC na CC za watawala salaam ni kwa mkono wa kushoto!!!! Kwa mwendo huo Kumbe ukiingia huko ni mpaka upate orientation ya jinsi ya kusalimiana, kushangilia etc
Nimefunguka macho leo Kumbe kwenye NEC na CC za watawala salaam ni kwa mkono wa kushoto!!!! Kwa mwendo huo Kumbe ukiingia huko ni mpaka upate orientation ya jinsi ya kusalimiana, kushangilia etc
Hatutaki rais masikini tena, hatutaki rais wa majaribio, hatutaki rais asiyesikiliza hasa vijana maana ndo Taifa la leo. Hatutaki rais asiyesimamia anayoyaamini kwa hoja. Tunamtaka rais wa kutuondoa hapa tulipo na kutupeleka kwenye neema kwa wananchi wote na si wajanja wachache. na rais huyo ni Lowassa tu. Mpeni nchi muone kama kila tatizo halijatafutiwa jibu ndani ya siku 100.
hahahahaaaaa....AKAZANEE.....Hahahahaaaaa...duuh Masaburi bana kweli tungo tata...!!!Akazane na nani? Hili neno Samuel Sitta alishawahi likataa..............
Nikuulize swali dogo tu je mpaka sasa kilichofanywa na CCM kwa hatua hii iliyopo siyo evidence tayari kuwa mafisadi wapo humo ndani? Je hudhani kuwa peoples power ikichangamshwa kidogo tu watatoa hukumu ya haki na serikali kulazimishwa kufanya hivyo? Moto huu ulipofikia ni vigumu wote kutoka wazima kwani majeruhi wengine wameungua mpaka 3rd degree kiasi kwamba wanapumua tu lakini uzima ni kwa miujiza na hao ndiyo hatari kuliko majeruhi walio namatumaini ya kupona na kupata another chance ya maisha baada ya kutoka ICU ambao pia watapenda kuwamaliza hao mapema kabla wanaokufa hawaja nyanyua silaha zao za mwisho hapo sasa masaa yamebaki machache kwa Kinu cha Uranium kulipuka baada ya tsunami wenye macho kimbieni 10 km radius from the radiation plant. Sisi wenzenu tulioko huku dunia nyingine tunawaombea wapendwa wetu watoke salama!
Nimefunguka macho leo Kumbe kwenye NEC na CC za watawala salaam ni kwa mkono wa kushoto!!!! Kwa mwendo huo Kumbe ukiingia huko ni mpaka upate orientation ya jinsi ya kusalimiana, kushangilia etc