Mwalimu alisema kipindi cha Analogy this is DIGITAL age.
Nampongeza sana lowasa kwa kunyamazisha vuvuzela zote zilizopanga kufuka moshi kwenye kikao cha cc dodoma akiwemo nape nnauye ambaye kimsingi amefyata mkia!!!!!!!!!!!!!
Malaria Sugu, Ritz, Faiza Fox mnamwona rais wenu ajae? Mtakoma kujidau mwaka huu! Mtajibeba! Labda sasa mkimbilie Kufa party.Anakulipa shilingi ngapi.
OTIS.
Labda wewe usimpe kura watu kibao wakiwemo wasomi wanaopima mambo kwa kina wameshasema kura zao kwa Lowasa kama ataamua kugombea, fitna hazina nafasi. Nikurudishe nyuma kidogo kwa Rais zuma wa Africa Kusini, aliwekewa zengwe la tuhuma za kupangwa akazipangua zote mahakamani maana hawakuwa na ushahidi wa kutosha na sasa ni rais wa Afrika ya Kusini. Wewe unahaki ya kumpigia kura mtu anayemtaka ila huna haki ya kuzuia watanzania kuchangua mtu wanayemtaka. Tanzania tunahitaji watu wanaoweza kufanya mambo yatokee sio watu wenye nadharia za kusadikika!:eyebrows:
Nampongeza sana lowasa kwa kunyamazisha vuvuzela zote zilizopanga kufuka moshi kwenye kikao cha cc dodoma akiwemo nape nnauye ambaye kimsingi amefyata mkia!!!!!!!!!!!!!
unajidanganya hamuwezi kumtakasa fisadi Lowasa mbele ya macho ya Watanganyika wala mhambi zake haziwezi kufutika mioyoni mwetu. Jidanganyeni wenyewe ccm sio watanganyika
Salamu gani hzo wanasalimiana kwa mikono ya kushoto.