Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,162
- 9,192
Niende wapi papie? mie nisha kuja in terms with your ignoring me hivo i deal
with it ki utu uzima. Ni vile tu nakuhitaji msaada wako hasa kipindi hichi cha mapacha.
hata kama kwa kunishika mkono ukiwa pembeni.
Nikushike mkono wapi? Au hewani hewani? hao mapacha si wana baba? wakishadondokea kwenye mikono ya baba zao tu nitafute...labda itakuwa 2050 hivi. Basi usihofu am there for you as usual....