Big Up Hygeia & Erotica

mie nawashangaa wanaojikaraisha na makaraha hali utamu uko kwa

ajili ya binadamu. vipi umeshapandisha mlima na kufika kileleni?

loh....
nimejifikia kwa raha zangu....
raha ya ngoma upate mpigaji mzuri....
walaaahiiiiiii ni utamu usioelezekaaaaaaaa
 
Excellent ulikuwa wapi papito nilikutafuta hadi nikakodisha TISS but bado sikukupata?

picha yangu na caramel flavoured Hygeia ndio imekutowa pangoni? Hio cku can not foget nisiseme mengi

Usiwe na was was na ucheshi wangu, huu ndio alionipendea papito Hygeia na kumfanya aniite Leyla.

Anajua fika nina Paxman ambaye huwa tuna kiss tu, nina Ndahani ambae hunirusha roho,

nina Boflo ambae huwa tunakumbushia, nina Kaunga my angel and love of my life, nina

klorokwini ambae ndie hubby dabby, ninae Erickb52, platozoom na Judgement ambao wanajifanya

hawanitaki kumbe wananitaka! kuna wale wanaoniletea pozi kama The Boss, Cool Gentleman, Roulette,

Ambitious na cartura. acha wale wakushtulia siku moja moja.... ila tu HYGEIA ni speacial sababu a

naelewa personality zangu. nishukuru tu huwa naenda kuungama kwa mchungaji Kaizer kwa ruhusa ya

kungwito gfsonwin shoga yake sana cacico na yule mwenza wangu sweetlady.

ninae na yule ambae nampendaga hadi leo sina uwezo wa kutype jina lake hadi kwa msaada,

siku nikiweza kutype jina lake naona nitawabwaga wote hawa. teh teh.

Orait Erotica actually nina wine yako km kawaida baada y confesheni
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa safari ila uzi niliuona nikadhani unamtania kijana kumbe na wewe uzi ulikuzamisha kwenye ulimwengu wa aina yake.
Kuhusu HYGEIA wala usijali yupo njiani


Bora umeleta hii picha maana Gwangambo alitukejeli kuwa Caramel Hygie

ni mzee sana hawezi kitu! teh teh teh. welcom back, mwaaaaaaah!
 
Last edited by a moderator:
Orait Erotica actually nina wine yako km kawaida baada y confesheni



teh teh teh. vile vibwagizo vyote ambavo huambatana na hio confesheni ndio hunikoshaga.

wine muhimu kabis, na safari hii nakuja wakati baby Kaunga

hajaja bado mana huwa anakuchosha kwa kukonfess vingi.
 
teh teh teh. vile vibwagizo vyote ambavo huambatana na hio confesheni ndio hunikoshaga.

wine muhimu kabis, na safari hii nakuja wakati baby Kaunga

hajaja bado mana huwa anakuchosha kwa kukonfess vingi.

Such an intelligent parishioner i have! Yaani we ni mbinguni strt
 
Kwani erotica ni mwarabu huyo mbona ni mwanamke wa kiarabu, au ni mkorogo na nywele za maiti?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom