Maisha Yangu Baada ya Kumpata Erotica

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Wapendwa wanachichat habari zenu? Leo ntafunguka na kujimwaga sana kuhusu mambo yaliyonitokea hivi karibuni. Mambo yalianza hapahapa chitchat niliporusha uzi huu: https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ica-leyla-mwenda-angekuwa-gelfrend-wangu.html. Uzi huu ulizua jambo moja kubwa; Erotica sasa ni wangu! Tangu tumeanza kuwa pamoja maisha nayaona kwenye mwanga tofauti kabisa. Nilikuwaga na stress za aina fulani, lakini baada ya Erotica kuingia kwenye anga zangu stress na feelings negative za maisha nlizokuwa nazo zimeyeyuka! Kila mara najisikia mwepesi na mwenye furaha sana. Unajua kilichotokea? Ni kwamba Erotica ni expert lover sijapata ona pengine. The way she hugs! The way she kisses! Halafu baada ya hapo akunong'oneze kitu masikioni weee! Mwanzoni niliona kama ndoto lakini sasa naanza kuona it's real and part of my life.Sasa ije mambo ya msosi. Sijui kasomea wapi mapishi bwana! Mie napenda sana ugali kwa samaki. Anavyosonga ugali mtamu jamani huyu mama! Tena kanifundisha kula ugali wa mhogo. Eeee bwanae! Aanze na mabusu halafu akusevie ugali mhogo! Unajiona uko mbinguni.Hizo stori sasa saa mnakula na pengine kwa bahati awepo shogaake mkubwa Kaunga! ambaye ni mcheshi sana. Ni raha juu ya maraha nakwambia.

Lakini nionavyo kadri siku zinaenda Erotica anazidi kuchoka kwa sababu ya ujauzito wake. Ameshauriwa na dokta apumzike full yaani hata kuoga asiende bafuni. Ila yeye si mtu wa kupenda kukaa mahali moja. Hata hivyo kumpunguzia kazi mimi na Kaunga tupo kusaidia.

Hivi karibuni kuna kitu klitokea na kitu hicho naona kama kimemuumiza sana, hata mimi pia. Nilimfuma na picha moja ya sex aliyopiga na mjamaa. Nilipomwuliza alipatwa na kwikwi kali kisha akamwita Kaunga azungumze nami. Nilielewa, nikamwambia aichome hiyo picha kwani inanipa shida. "Itachomwa tu shemeji usitie shaka" Kaunga aliniambia. Sijui kama imechomwa ila mahug na makisses yameongezeka mno

Ni hayo tu wanachitchat. Kwangu yalianza kama uzi wa kawaida hapa ila yamegeuka kuwa makubwa! Naomba mtuombee!
 
Mbona hujatuambia jinsi anavyodeka?

7o6cfp948846-02.jpg
 
Kweli hayo ni mapenzi maana umeona picha ya sex lakini wala hukumaindi ila twakuonea wivu maana anaonekana ni mwanadada ambae kitandani shuhuli anaipenda :biggrin1: ndo maana hubanduki hapo haya sasa mwatarajia lini??!!
 
we haya we! akikuchenjia uje tena hapa utoe taarifa kwa kirefu, ila kwa suala la kungonoka naona kweli ni professor huyo mtoto,ile lecture aliyotoa kuhusu mambo ya mapenzi kwa kutumia pen ni ya level ya Phd!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha
umeamua kujitokeza. Je angekuwa amepiga na wewe?
Usijali picha tu!
 
Yaani wewe mchokozi! Jana nikazushiwa kashfa eti ulishawahi kunikagua! Thubutuuu!

Afu usiwe unaniweka humu, nitamuambia PAW upate server ban, ohooo!
Mi anachonifurahisha ni mapozi yake tu. Sijui yanaendanaje na mapozi ya Erotica

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe mchokozi! Jana nikazushiwa kashfa eti ulishawahi kunikagua! Thubutuuu!

Afu usiwe unaniweka humu, nitamuambia PAW upate server ban, ohooo!
Hahahaha! Wazushi hao bana. Wakongwe hatukaguani bana.....

Kiukweli sitaweka tena picha yako ila hebu tuambie hapa mlikuwa wapi na MwanajamiiOne?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Baba V asema we haya we! akikuchenjia uje tena hapa utoe taarifa kwa kirefu, ila kwa suala la kungonoka naona kweli ni professor huyo mtoto,ile lecture aliyotoa kuhusu mambo ya mapenzi kwa kutumia pen ni ya level ya Phd!

Kuchenjiana ni mambo ya kawaida katika maisha. Yanaponoga unasema na unasema pia yanapokuwa machungu.
Ile lecture ya sex yenye kalamu nilimsaidia. Usione utomvu wa papai ukasema ni tui!
 
Last edited by a moderator:
Baba V asema: "we haya we! akikuchenjia uje tena hapa utoe taarifa kwa kirefu, ila kwa suala la kungonoka naona kweli ni professor huyo mtoto,ile lecture aliyotoa kuhusu mambo ya mapenzi kwa kutumia pen ni ya level ya Phd!"

Kuchenjiana ni mambo ya kawaida katika maisha. Yanaponoga unasema na unasema pia yanapokuwa machungu.
Ile lecture ya sex yenye kalamu nilimsaidia. Usione tui ukadhani ni utomvu wa papai
 
Mi hata huu uzi wa @hygea sijauelewa vizuri

kwa nini unahitaji maombezi yetu? LOL

halafu jamani twendeni jeshini, wamalawi wanataka ziwa lote watu tupo chit chat? hebu tukajiandikishe huko!
3_8_14.gif

Umeona eh? Hajui ku do the needful asee...
 
Mizengo alishasema liwalo na liwe
Mi hata huu uzi wa HYGEIA sijauelewa vizuri

kwa nini unahitaji maombezi yetu? LOL

halafu jamani twendeni jeshini, wamalawi wanataka ziwa lote watu tupo chit chat? hebu tukajiandikishe huko!
3_8_14.gif
 
Last edited by a moderator:
Shemeki wa ukwelii HYGEIA mbona picha tulishaichoma long tym! Halafu kitu ninachokupendea ni uelewa wako na macare, yaani mpaka raha yaani. My Erotica is luckiest woman in the whole world.

Ila unachoniboa ni uaminifu wako, khah yaani hata nikikukonyeza seriously unaipotezea kiutani! Wapi Kaizer, weekend ndio hiyo!
 
Please Kaunga nikonyezepo na mimi basi...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom