Big Up Hygeia & Erotica

teh teh teh. vile vibwagizo vyote ambavo huambatana na hio confesheni ndio hunikoshaga.

wine muhimu kabis, na safari hii nakuja wakati baby Kaunga

hajaja bado mana huwa anakuchosha kwa kukonfess vingi.

Mimi na wewe tena, usikonde this tym anza wewe after all utakuwa unawaweka vyema twins; nikija nitampa uji wa ulezi na korosho kwanza ili apate nguvu za kuniconfess nami!
 
Kwani erotica ni mwarabu huyo mbona ni mwanamke wa kiarabu, au ni mkorogo na nywele za maiti?


papito huyo mbona sio mwarabu ila tu ningozi ambayo naitunza kwa vinakshi na

nutrients kibao kuhakikisha hata inapogusana na ngozi nyingine inakuwa nyororo na

kuleta raha. nywele kama unavoelewa lazima zipambwe! ukitaka kuweza tu webcam ndio mambo yote.
 
teh teh teh basi siji utanivunja vunja


teh teh teh. basi chukua hio....... kama zawadi yako murua kwa kutupaisha mm na Caramel Hygie..


kisses_03.gif
 
Mimi na wewe tena, usikonde this tym anza wewe after all utakuwa unawaweka vyema twins; nikija nitampa uji wa ulezi na korosho kwanza ili apate nguvu za kuniconfess nami!


teh teh teh. finally na mimi nitapata kile ambacho kinakufanya ung'ang'anie huko!

hopefully baba mchungaji hatabishana na ratiba hii.. mwaaaaaah darling.
 
Mie hiyo ilikuwa ni kiss ya ku 'blow' ikilenga mwili wako wote toka utosini hadi unyaoni.

ila hata hii yako nimeipokea. iko so sweet yaani..................... :A S 465:
sikujua ume"blow" yaani hamna hata signals?
 
Nitamuumiza vipi hali hawa lavu iko strong? alafu yeye ndie namruhusu aende kwake

not the other way round. mie niko hapa hapa namsubiri kwa mihamu.
kwahiyo kuna ka-freedom kwa kila mtu nini
 
kind and wandafu Excellent mapacha are taking toil on me, wacha nipumzike sasa. mwaaaaaaah.

Kaunga darling will need a sweet story uje usimulie our babies tumboni, wanamiss ur voice.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom