Amini usiamini kumbe MMU ni subforum ya Chit chat!!

wataalam wa malovee wanakuja sa hivi wanamalizia kupaka mapoooder!!!
 
nawasalimuni nyote...haswa ww mtoa mada...SS za masiku?
 
hivi mtoa uzi unajua maana ya flirting???? na maana ya chit chat...hizo link ulizotoa watoa uzi wana akili timamu na ni waelewa kuziweka chit chat na co MMU, hata mamods waliona kuwa zina fas kuwa chit chat dats y hawakuzivumuzisha... madame Roulette, Paw, Invisible na wengineo naomba mumfafanulie @Smilling Saint kuwa hizo link hazikuhamishiwa MMU na zikaachwa CHIT CHAT....PIA PITIA HAPA UJUE MANA YA FLIRTING... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/264602-flirting.html
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
platozoom sina nia kugusa vidonda vya mtu hapa ila tu napresent fakts tu
 
Last edited by a moderator:
charminglady i wish ungejua kuwa hata huu uzi uko ki-chit chat zaidi
 
Last edited by a moderator:
hivi mtoa uzi unajua maana ya flirting???? na maana ya chit chat...hizo link ulizotoa watoa uzi wana akili timamu na ni waelewa kuziweka chit chat na co MMU, hata mamods waliona kuwa zina fas kuwa chit chat dats y hawakuzivumuzisha... madame Roulette, Paw, Invisible na wengineo naomba mumfafanulie @Smilling Saint kuwa hizo link hazikuhamishiwa MMU na zikaachwa CHIT CHAT....PIA PITIA HAPA UJUE MANA YA FLIRTING... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/264602-flirting.html
charminglady umejibu maukweli wakati uzi wenyewe uko ki chit chat pia lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom