=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

Wasiwasi wangu sasa,FF will never be the same again,hii thread imeleta bondage CONSQUENCES zake ni FF atachukua a middle of the road approach katika thread na posting zake-i think we have seen the last of the all conquering,snarling bulldog type FF-if it so happens it will be sad
 
Kwa miaka hiyo Faiza ni bibi yangu kabisa.

Hongera sana kwa kula chumvi mingi
 
Hii miaka 30 kwa wanaume wangapi? maana sie ndio zetu kila mfungo waweza kuwa unaolewa na uanachika baada ya mfungo.
accumulation ya miaka 30 kwa wanaume wangapi dear?
Niswali tu.

Hahahahaha dah si mchezo ndo maana wengine hatupendi kuulizia back ground unaweza zimia
 
ooops miaka 30 ya ndoa??
hongera sana dada na mshangao pia ..
 
FF nadhani baada safari iliyojaa milima na mabonde, mapapa na manyangumi, na karaha za kila aina ndogo na kubwa sasa bahari imetulia ukiondoa rabsha ndogo ndogo za hapa na pale na safari ikiendelea kwa raha na mustarehe. Nakutakia kila la heri afya njema na baraka telena baraka ili uweze kusherehekea miaka mingine 30.

Ombi langu kwako kwanza uache kumuita gozi pili uache kuitetea CCM hata pale ambapo haistahili kufanya hivyo. Kuikosoa CCM inapovurunda siyo dhambi bali wengi tunafanya hivyo kwa kuitakia mema nchi yetu na watu wake. Hivyo kuanzia sasa ni RUKHSA kuikosoa CCM kila inapovurunda. Kila la heri na baraka na pia nakutakia Ramadhani njema.

Last edited by a moderator:
May be a question to AshaDii, some time back members here in JF were accusing you that you are also FF and you denied that. How come you know that FF is married for 30 years!!?? Are you two friends or what?
 
daaaah Limbani!
 
Yaani bado una mashaka na hilo? wewe hujiulizi ni kwa nini FF hajachangia hii thread wakati anakesha kwenye keyboard 24/7? THINK BIG.
 
Mbona speed yake ya utetezi wa uozo wa chama cha magamba (kwa njia ya mipasho) umepungua siku hizi? Hawatoi posho tena? Any she is on my ignore list!!!

Tiba
 
FF ndio aliyepost hii thread, yaani wewe ukongwe wote hapa JF bado unakuwa mgeni?

Matola naomba tu ujuwe kua katika kundi la GT la assumption zangu nahisi uko la tatu... labda prove me wrong...

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/153532-ashadii-to-jf-members.html

Yaani bado una mashaka na hilo? wewe hujiulizi ni kwa nini FF hajachangia hii thread wakati anakesha kwenye keyboard 24/7? THINK BIG.

Kweli THINK BIG ni relative term na zimezidiana from one person to anoter...

Yaani nguvu yako yooote ya Conclusion from the blue tu ??

aaaaiiiseee.........:disapointed:
 
May be a question to AshaDii, some time back members here in JF were accusing you that you are also FF and you denied that. How come you know that FF is married for 30 years!!?? Are you two friends or what?

Limbani sometimes it is good kama uko curious na kitu kifanyie kazi...
Ungesoma this whole thread (sikulaumu ni ndefu...) ungepata majibu
ya maswali yako.. However....

How come you know that FF is married for 30 years!!?? (Jibu lipo post # 86 & 146)

Are you two friends or what? (Yes... Hii ID confusion na constant allegations imefanya tuwe karibu)
 
Mbona speed yake ya utetezi wa uozo wa chama cha magamba (kwa njia ya mipasho) umepungua siku hizi? Hawatoi posho tena? Any she is on my ignore list!!!

Tiba

I see....
 
Sometimes tunakuwa wavivu wa kushughulisha ubongo wetu, nashukuru kwa kuondoa my curiousity!!
 
Natamani nilifahamu hilo Gozi, yupo JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…