Big time for upcoming enterpreneurs - Victory Mobile Network!

Mwenyezi Mungu aepushie mbali janga la upatu kama deci lisitokee tena nchini mwetu. Uaminifu wa wateja wetu ndio chachu ya mafanikio yetu.

Wote waliojiunga wanapata fursa sawa ya mikopo bila upendeleo.

Victory Mobile Network ni chaguo makini kwa wajasiriamali wadogowadogo. Karibuni sana!!!

ofisi zenu ziko wapi pale mjini?
 
:nerd:
15,000 + (40,000 x 3) = 135,000
Loan 200,000
5 x 46,000 +(40,000 x 5) = 430,000
Loan 500,000
10 x 60,000 +(40,000 x 10) = 1,000,000

Total Loans = 700,000
Total Payments = 1,565,000

Interest Rate 123%
Wajinga ndo waliwao!!!

hesabu za uongo hizi!
 
Wazo zuri, kwa wenye imani na hizi mambo wajiunge.

Nawaomba mjenge imani kidogo tu, na faida yake mtaiona punde.

Najua kwa wenzetu wanaotoa huduma kama yetu, mteja akiamua kujitoa huwa anasumbuliwa sana, na kama akipewa amana yake basi huwa anakatwa kiasi fulani cha pesa.

Huduma yetu mtaipima wenyewe, na hata msiporidhika hakuna mizengwe yoyote mteja akiamua kujitoa.
 
Tunawatakia Idd njema Waislam wote nchini na duniani pote, Idd Mubarak!

Ofa maalum ya Idd -el- Fitri, kwa wale wote watakaojiunga na Victory Mobile Network mwezi huu wa nane, punguzo maalum la ada ya kujiunga Tsh. 10,000/= tu badala ya Tsh. 15,000/=

Kuanzia tar. 01 Septemba 2012, ada ya kujiunga itakuwa Tsh. 20,000/= tu.

Karibuni Victory Mobile Network, kwa maendeleo na mafanikio ya wajasiriamali wadogo na wa kati.

Administrator,
Victory Mobile Network.
 
Back
Top Bottom