usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,900
machozi vp,hayajamtoka kwl?
Mbona rangi ya USO haifanani na miguu
Yalimtoka kama maji..asichokijua ni kwamba hilo gari, promo zote na atapangiwa mpaka jumba la ndoto zake kama bado...siyo hisani bali ni sehemu ya kutengenezwa awe msanii mkubwa africa. Aje akae meza moja na kina yemi,tiwa na wengineo wakubwa,aje apige show nyingi za mkwanja mkubwa na hiyo ndiyo biashara Ya Diamond platnumz...he is a genious man, kwa alichokifanya kwenye show ya juzi ni kwamba anamuandaa zuchu awe tofauti hata na kina Lavalava na mbosso hii ni biashara yakemachozi vp,hayajamtoka kwl?
🤣🤣🤣🤣 sasa hivi angalauMbona rangi ya USO haifanani na miguu