Big Sunday live Wasafi TV

Big Sunday live Wasafi TV

Program Manager

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
3,088
Reaction score
4,492
Ni kipindi kilichojaa ubunifu mkubwa na burudani za kutosha.
Ikiwa ni ep ya pili tu tayari The MVP lil ommy ameprove kwamba yeye ni king katika industry ya burudani akiwa sambamba na Ray Mshana na Ammy gal.
Kikiendelea kama kilivyoanza natarajia kipindi hiki kitakuwa na mashabiki wengi sana wapenda burudani
Let's enjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ammy girl hana muonekano bana hajafit pale, tunawapa muda waboreshe muonekano wa show ina poor quality, all in all kipindi ni 🔥🔥🔥 kila audience wabadilike sio kila siku wale wale
 
Ammy girl hana muonekano bana hajafit pale, tunawapa muda waboreshe muonekano wa show ina poor quality, all in all kipindi ni [emoji91][emoji91][emoji91] kila audience wabadilike sio kila siku wale wale
Kuhusu quality sijaona show inayorushwa katika Muonekano bora hapa bongo maana hata hizo chanel za mpira wa bongo bado hazijawa Clear HD
Kwenye quality ni utopolo tu, ila ubunifu mimi naona wamejitahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maxresdefault.jpg
maxresdefault(3).jpg
maxresdefault(2).jpg
maxresdefault(1).jpg

machette show ipo Moto sana nilipenda Sana kumuona deo wa cheka tu pamoja na performance ya Linah na chid Benz
 
Ammy girl hana muonekano bana hajafit pale, tunawapa muda waboreshe muonekano wa show ina poor quality, all in all kipindi ni [emoji91][emoji91][emoji91] kila audience wabadilike sio kila siku wale wale
Unasema Show in poor quality
Wakati huo huo unasema
Kipindi ni fire fire.

Hivi unaelewa ulichokiandika hapo ?
 
Ni kipindi kilichojaa ubunifu mkubwa na burudani za kutosha.
Ikiwa ni ep ya pili tu tayari The MVP lil ommy ameprove kwamba yeye ni king katika industry ya burudani akiwa sambamba na Ray Mshana na Ammy gal.
Kikiendelea kama kilivyoanza natarajia kipindi hiki kitakuwa na mashabiki wengi sana wapenda burudani
Let's enjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiko noma sana kipindi iko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom