Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,069
- 1,439
Kama jina lake lilivyo groovy inaonekana anajiachia tu hayupo real.Pyna nae anakula asali
Cyph angebaki angechangansha sana level 2. Alikua real yule mtu
Kama jina lake lilivyo groovy inaonekana anajiachia tu hayupo real.Pyna nae anakula asali
Duh Ilebaye 😳
Bado bibi Diana atoke maana ana-boreDuh Ilebaye [emoji15]
Hao level one siwapendi hata huwa siwaangalii. Leo level two wajitahidi washinde HOH.Bado bibi Diana atoke maana ana-bore
Me napenda kuwaangalia zaid level 1 kiufupi wanajua nini wanafanya achana na madogo level 2Hao level one siwapendi hata huwa siwaangalii. Leo level two wajitahidi washinde HOH.
Lete Maneno........HOH inaenda level two awamu hii.
Umekwenda Mbali Sana Mkuu......Amayejua haya maji ya AQUAFINA yanapatikana wapi TZ anijuze aseee[emoji23][emoji23]
Ni noma HOH iliwagomea hiyo level. Ila wager ilikuwa ni yaoLete Maneno........
nimeshindwa kuangalia sehemu mbili kwa wakati mmoja bwana,bora wawachanganye wote
Ni wajasiriamali wadogo wadogo wanafanya biashara zao pembezoni mwa barabara sasa wanakutana na changamoto za mgambo...Hivi hi hua ina deal n nn yaan
I mean hus n mchezo au n show ya nini ndugu zangu