Big Brother Naija Season 7

Big Brother Naija Season 7

Alikuwa anamtaka sheggz matawi ya juu. Kwenye sat paty ya mwanzo alikuwa akijipeleka kwa sheggz. Ila naona sheggz aliona atachanganya madawa cause survival yake kimkakati ipo kwa bella. Hii vile vile ni sababu nyingine ya kuchanganyikiwa kwq beauty
Upepo ulimkataa maana ni Beauty with ni brains 😂
 
Ananikumbusha nadhani Erika kwenye disqualifination bbn 2020. Nae beautiful no brain
Erica huwezi kumfananisha na Beauty kabisa, Beauty hawezi kuvumilia hata robo ya aliyofanyiwa Erica, mpaka anafanya fujo ule usiku alikuwa ameshachoka na aliona faraja pekee ataipata nyumbani maana mule ndani watu wote walikuwa against na yeye kasoro Kiddiwaya
 
Kifurushi Gani DStv naweza icheki
Kuna kipindi nilikuwa nalipia kile cha elfu 19 nilikuwa naona channel namba 198. Saivi nalipia 51 naona na chennel nimber 199 maana kuna level mbili zina air kwa muda mmoja so una tune kuangalia level unayotaka. Sijajua kama kile cha 19 kama kinaonyesha level zote mbili au ni moja tu.
 
Erica huwezi kumfananisha na Beauty kabisa, Beauty hawezi kuvumilia hata robo ya aliyofanyiwa Erica, mpaka anafanya fujo ule usiku alikuwa ameshachoka na aliona faraja pekee ataipata nyumbani maana mule ndani watu wote walikuwa against na yeye kasoro Kiddiwaya
Kweli bana Beauty ni kilaza asee
 
Wekeni na link au king'amuzi gani kinaonesha, channel namba ngapi, halafu malizia na Muda wa kuoneshwa maana masaa yanatofautiana
 
Sheggz na Bella watakuwa kama Erica na Kiddwaya.

Ila Nengi alikuwa pisi kali namfananisha na Chichi saivi.
Kwa maumbo na swag ndio wanafana. Mercy Eke, Nengi na Chichi.
Ila Chichi naona sio clever kama hao wenzake kuweza kwenda mbali.
Naona chichi hivi karibuni hupo close na fake bm Deji
 
Erica huwezi kumfananisha na Beauty kabisa, Beauty hawezi kuvumilia hata robo ya aliyofanyiwa Erica, mpaka anafanya fujo ule usiku alikuwa ameshachoka na aliona faraja pekee ataipata nyumbani maana mule ndani watu wote walikuwa against na yeye kasoro Kiddiwaya
Wana tatizo moja ila beauty kazidisha
 
Kwa maumbo na swag ndio wanafana. Mercy Eke, Nengi na Chichi.
Ila Chichi naona sio clever kama hao wenzake kuweza kwenda mbali.
Naona chichi hivi karibuni hupo close na fake bm Deji
Ila chichi yupo very creative ile task ya jana nguo aliyoshona ilikuwa kali sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20220813-171409_Twitter.jpg
    Screenshot_20220813-171409_Twitter.jpg
    220.2 KB · Views: 20
Ila chichi yupo very creative ile task ya jana nguo aliyoshona ilikuwa kali sana.
Hii task sikufuatilia. Task za kushona na kupikapika huwa sizipendi.
Niliipenda ile task ya drama walioshinda level 2 na ile ya kutunga mchezo wa field walioshinda level 1
 
Back
Top Bottom