Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,547
- 81,368
Dah kashinda Adekunle level 1HOH inaenda level two awamu hii.
Dah kashinda Adekunle level 1HOH inaenda level two awamu hii.
Yeah level 2 nawapenda hasa phnaYeah hii nayo ni changamoto. Japo mimi napenda kuwaangalia level 2 zaidi
Huyo ndio anawabeba wenzake. Maana ana vibe sio kitotoYeah level 2 nawapenda hasa phna
Ilebaye atabaki mpaka dakika za mwisho mkuu. Na kama level one wakishinda HOH week hii inawezekana akina Bryan, Phyna na Amaka wakawa nominated na kuwa evicted.Kipaji Brynn alijiharibia CV kutaka kuanzisha ship kwa pupa. Baada ya kutemwa na Daniella, kitendo cha kuonekana kutemwa tena na Alebaye kimeharibu zaidi CV ys Bryann. Ningependa Alebaye asepe ili Bryann apate space ya kupumua. Ningependa ship ya Byann na Modella yule fake housemate
View attachment 2322658
Hermes jamaa ni mshindani na anajua ila yale ma hereni na vipua ndio vimenifanya nisimkubali since day one.Level one my man hermes
Dah yaani...ila mapenzi pia..alimpenda groovy..Pombe sio chai kilicho mkuta Beauty daaaah
Phyna ana fan base kubwa nje?Ilebaye atabaki mpaka dakika za mwisho mkuu. Na kama level one wakishinda HOH week hii inawezekana akina Bryan, Phyna na Amaka wakawa nominated na kuwa evicted.
Maana wao huwa wanaangalia wath wenye potential ndio wana nominate na kuwatoa ili ushindani upungue.
Ila all in all mshindi wa hii season ni Phyna na atakuwa nominated kila week ila hatatoka mpaka mwisho.
Kina phyna wasiposhinda Hoh week hii itakua balaaa.Ilebaye atabaki mpaka dakika za mwisho mkuu. Na kama level one wakishinda HOH week hii inawezekana akina Bryan, Phyna na Amaka wakawa nominated na kuwa evicted.
Maana wao huwa wanaangalia wath wenye potential ndio wana nominate na kuwatoa ili ushindani upungue.
Ila all in all mshindi wa hii season ni Phyna na atakuwa nominated kila week ila hatatoka mpaka mwisho.
Kuna sk Chomzy alimwita Zombie. Ni kama hamnazo ila entertainingHermes jamaa ni mshindani na anajua ila yale ma hereni na vipua ndio vimenifanya nisimkubali since day one.
Advantage ya kuwa nominated mapema..Phyna anapata kura nyingi sana mkuu na anakuwa nominated kila week ila huyo ni kwere hawezi toka. Ukisoma comments za fans twitter na kwingineko utagundua huyo manzi ana mashabiki kinoma
Ndio wakipungua house zitaunganishwaNahisi huko mbele yawezekana waka merge hizi level mbili
Beauty hakuwa na malengo inaonekana wazi kabisa. Yani aliingia kutafuta mapeni na umaarufu wa kijinga. Yeye kila siku kugombana tu. Sasa eti anagombana kisa hataki bwana ake aoshe vyombo?Dah yaani...ila mapenzi pia..alimpenda groovy..
Wamenikumbusha ceec na tobby
Ijumaa hii nataka nione groovy na chomzy kama watakiwashaKuna sk Chomzy alimwita Zombie. Ni kama hamnazo ila entertaining