Big Brother Africa III

Thats a game. Latoya has to cope with house while aiming at kushinda.
Mapepe yawepo kiasi ili BB House iwe alive.
Tunawakilishwa na tunachotaka ni ushindi
 
Jamani huyu anatafuta ushindi kaona rich alikandamiza na kaibuka na ushindi na yeye akandamizwe ila awe na mtu mmoja tu naona kamngangania mganda mh hachezi mbali ili ukirud kwao asipande ndege kumfata apitie bukoba
 
itatuuma sana pale tutakapoanza kushuhudia binti yetu anazamishiwa msumari wa inchi sita live..si tulizoea kuona tukiwazamishia watoto wa wenzetu...sasa hapo ndipo watanzania uzalendo utawashinda na kuanza kumtumia message za kumtoa kama south africa walivyo vote kum evict yule binti yao aliyelambwa na gaetano........
 
Twende mbele turudi nyuma.... Big brother si maadili yetu na niliyoyaona juzi saa nne na nusu usiku nilichoka. wanaume wanaoga na wanawake humohumo - i felt embarassed before my kids
 
Kwa ninachokiona hapa Latoya kaanza malavidavi na Morris wa Uganda
 
Yaani not even a week and her nipples are s********* and being f**** at the same tyme?She is an embarassment!
Anajua malavidavi ndiyo deal!
 
if the world really goes as easy as that .. basi ni hatari .. mtu umemuona siku moja tu ya pili unamparamia .. kule ulikotoka umemwacha nani?? Richard alileta mtafaruku mkubwa ktk ndoa yake just cos of the same stupidity .. the other mwisho alionyesha utupu wake kauninginiza kama tai mbele ya camera ... hata akisimama mbele ya uma kila mtu anayajua maumbile yake ... all tht because of money??????? sasa cha ajabu mtu ambaye mwehu kama hivi ndiyo watu wanampenda wanampapatikia hasa mpaka wengine wanatoa ma milioni kumpata ... wewe unaejituliza na kujiheshimu hata salaam hupati
 
Thats sad.

Though, malipo kwa Mola.. mja kuwa mshahamilivu na dunia hii inayopita..Hakika utalipwa mara 100 kwa kila ulofanya kwa ajili ya utukufu wa M/Mungu..
 
Unajua Big Brother ina ufundi na trick kama soka, tenis, au mchezo mwingine wowote. Kwa hiyo Latoya anajua washabiki wa BBA wanataka kuona hatima ya kitu fulani, kwa mfano hapa wote tunadhani atamegwa siku moja, kutokana na hilo washabiki wngi watataka kumwacha ndani ya jumba ili siku moja waone live akiliwa, na yeye atakachofanya atamsogeza mshikaji karibu sana kiasi kwamba kila mtu anakuwa anajua kuwa itatokea kesho kumbe laaaa, mpaka anafika final. Hata Mwisho na Tapuwa (Zimbabwe) walitumia trick hiyo walidumu mpaka kushika nafasi ya 2 na tatu.

Pia akifanya hivyo atasababisha jelousnesness toka kwa mates wenzake hasa wasichana, na kwa hiyo watakuwa wanamnominate na kwa kupona eviction baada ya nomination itamwongezea umaarufu toka kwa washabiki.

Vipi uwezo wake wa kujieleza? maana hii inamata sana atakapo nominated atakuwa anaelza vipi hisia zake baada ya kusave eviction ili wiki inayofuata awe gumzo.

Nadhani it is just a trick of a game.
 
if the world really goes as easy as that .. basi ni hatari .. mtu umemuona siku moja tu ya pili unamparamia .. kule ulikotoka umemwacha nani?? Richard alileta mtafaruku mkubwa ktk ndoa yake just cos of the same stupidity .. the other mwisho alionyesha utupu wake kauninginiza kama tai mbele ya camera ... hata akisimama mbele ya uma kila mtu anayajua maumbile yake ... all tht because of money??????? sasa cha ajabu mtu ambaye mwehu kama hivi ndiyo watu wanampenda wanampapatikia hasa mpaka wengine wanatoa ma milioni kumpata ... wewe unaejituliza na kujiheshimu hata salaam hupati

Mama umeandika kwa uchungu sana....mimi nimewahi kujiuliza kwanini wasichana/wanawake wanapenda sana watu Thug wale wenye tabia za ajabu ajabu Mwisho tabia yake ile ya kuonyesha nyeti zake ni tabia za kifisadi.....lakini wonderful aliwamega mademu sana same apply to richard mademu wana mpapatikia

wewe ukiwa sijui mstaarabu unafunga tai full ibada J2 na ijumaa huheshmiki katika jamii ya kitanzania......mwanamuziki Solo thang aliimba.....wewe unataka jina mimi nataka heshime....
 
Tulichekelea sana Mwisho na baadae Richard walivokua wanawafanyia mabinti za watu,sasa hivi nasi tuwe wapole na wavumilivu binti yetu nae akitoa burudani na viburudisho,mnadhani Waangola walijisikiaje Tatyana kugalagazwa mpaka chooni? Tusubiri kumegwa na tuvumilie misumari kwa kusaga tu meno,TUNALO HILO MWAKA HUU!!
 
itatuuma sana pale tutakapoanza kushuhudia binti yetu anazamishiwa msumari wa inchi sita live..si tulizoea kuona tukiwazamishia watoto wa wenzetu...sasa hapo ndipo watanzania uzalendo utawashinda na kuanza kumtumia message za kumtoa kama south africa walivyo vote kum evict yule binti yao aliyelambwa na gaetano........

Fedheha tupu kwetu sote!
Wazazi, ndugu jamaa na marafiki..kaeni mkao wa kuaibika kwa sana!
 
Unajua Big Brother ina ufundi na trick kama soka, tenis, au mchezo mwingine wowote. Kwa hiyo Latoya anajua washabiki wa BBA wanataka kuona hatima ya kitu fulani, kwa mfano hapa wote tunadhani atamegwa siku moja, kutokana na hilo washabiki wngi watataka kumwacha ndani ya jumba ili siku moja waone live akiliwa, na yeye atakachofanya atamsogeza mshikaji karibu sana kiasi kwamba kila mtu anakuwa anajua kuwa itatokea kesho kumbe laaaa, mpaka anafika final. Hata Mwisho na Tapuwa (Zimbabwe) walitumia trick hiyo walidumu mpaka kushika nafasi ya 2 na tatu.

Pia akifanya hivyo atasababisha jelousnesness toka kwa mates wenzake hasa wasichana, na kwa hiyo watakuwa wanamnominate na kwa kupona eviction baada ya nomination itamwongezea umaarufu toka kwa washabiki.

Vipi uwezo wake wa kujieleza? maana hii inamata sana atakapo nominated atakuwa anaelza vipi hisia zake baada ya kusave eviction ili wiki inayofuata awe gumzo.

Nadhani it is just a trick of a game.

Strategies siyo lazima ziwe za kujidhalilisha tu. Ingeweza ikavutia pia kwa watazamaji kuona mtu anayeweza kucheza karata clean na kuibuka kidedea kama Cherise aliyeshinda BBA1. Vilevile kuna Ofuneka wa BBA2 aliyeweza kwa kiasi kikubwa kutoka na strategy ya service provision to others in the house badala ya kuwa jamvi la wageni kama wengine.It is not necessarily true kuwa utakavyojifanya hamnazo ndiyo utashinda.Tukumbuke hili shindano lina mambo mengi ndani yake zaidi ya burudani na ku portray mahusiano ya kingono!! Kuna watu wanakusanya data zao hapo na research on different aspects on human psychology. Waafrika siyo lazima tuendelee kuwapa faida na kuprove the hypothesis za hao Eurocentrics kuwa Africans only know sex and partying!!!

Nadhani ingekuwa jambo jema endapo kama jamii ingeweza kuwasaidia candidates for BBA kwa kuwapa mawaidha na mikakati ya ku survive in the BBA House - na hasa wazazi/walezi wangeweza kusaidia vijana hawa kwa kuwapa wosia kama inavyofanyika kwa mtu anayeenda kuishi maisha mapya - ya aina yeyote ile.Hii ingepunguza aibu.Mwaka huu kwa mfano, most of the BBA participants wako in their 20s - japo ni watu wazima bado wana utoto mwingi sana... wanahitaji kuongozwa.
Kwa kiasi kikubwa the way these people are behaving is a reflection of total failure on parents and jamii katika ku parent!
Kazi tunayo!
 
Asiyependezwa na BBA asiangalie. Period! Kulalama hakutasaidia, Latoya yumo wala hasikii tusemayo, kama kumegwa atamegwa tu ikiwa ndio plan yake. BBA sio ngeni sote tunaijua, ukiwa inakupa shida usiangalie.
 
Back
Top Bottom