Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Hivi Idris yupo kwenye eviction nominees week hii..?
Kama Idris hayupo....Lavada might survive cz waTz watampa kura.

Idris hayupo jamaa yuko peace na anakura moja tu.. tuombe tu leo asiwekwe kikaangoni na head of house
 
Alafu tangia asifiwe kupuliza lile dude lake basi ndio kila muda analipuliza.. Mpaka anakera sasa, huyu demu kusema kweli Mi wala sitahangaika kumvote..

Kwanza hata tukimpigia achomoki maana Alusa na Ellah wako kwenye nomination so tushakosa kura za Ke na Ug
 
Yanii Laveda hapendwi mle ndani aisee mpaka sasa anakura 11 karibu kila mtu alimpigia.. it seems anajisikia sana na mkorofi anadhani anapendwa huku nje sababu ya Sax yake ile

Tatizo ni lile kabila lake... Wanapendaga Sifa sana hahahaha
 
Kenya sina wasiwasi nao miaka yote jirani yetu mwema ni Kenya

True sina imani na Uganda Rwanda pia ndio kabisaaa Tena jana both Ellah na Arthur walimpigia kura Laveda...

Nampenda sana Alusa analielewa game na anauzoefu pamoja na udhaifu wa ndugu yetu Laveda but hampigii kura coz anajua jirani yake
 
Hahaaa anapeleka mambo ya swagga za kabila mjengoni... bora idriss the dude is cool

Idris anacheza game lake poa sana... Anaongea na kila mtu ndio maana amekuwa nominated na mmoja tu ambae pia ni rafiki yake wa karibu..
 
Idris anacheza game lake poa sana... Anaongea na kila mtu ndio maana amekuwa nominated na mmoja tu ambae pia ni rafiki yake wa karibu..

Yaani jana Nhlanhla kanishangaza i never thought angemnominate best yake.. anyway kweli kama alivyosema anamuogopa anaweza shinda
 
Yaani jana Nhlanhla kanishangaza i never thought angemnominate best yake.. anyway kweli kama alivyosema anamuogopa anaweza shinda

Unajua watu mule ndani wanamwona idris kama boya boya hivi ndio maana hawamtilii maanani.. Rafiki yake pekee ndie amejua game ya jamaa ndio maana kaona he is a threat.. Either Idris au Macky 2 ama Samantha watashinda hii game
 
Nchi za SADC zinashirikiana sana linapokuja swala la kumpigia mshiriki wao kura.. Ndio maana washiriki wao wote walipata kura zaidi ya moja. Hii ilikua wiki mbaya kwa East Africa cuz tulikua na washiriki watano wa kuwapigia kura. Cha msingi tuombe Rwanda aungane na sie EA na pia UG wasijifanye kuwasupport Nigeria sababu ya urafiki wa Tayo na Esther

Rwanda hawatabiriki mana akina Arthur na frank wamempigia Laveda kura ya eviction pamoja na hela nao wanafiki atleast Wakenya sema Laveda haeleweki hajichanganyi na kujiona bora zambia na malawi walimpigia jj sasa Laveda achange she is really boring namkubali Idris hafu wenzake wana mchukulia utani hawa wa Rwanda wame ni bore
 
Unajua watu mule ndani wanamwona idris kama boya boya hivi ndio maana hawamtilii maanani.. Rafiki yake pekee ndie amejua game ya jamaa ndio maana kaona he is a threat.. Either Idris au Macky 2 ama Samantha watashinda hii game

Bora wamuone hivo hivo game yake nzuri haboi namwombea Mungu afke mbali
 
Rwanda hawatabiriki mana akina Arthur na frank wamempigia Laveda kura ya eviction pamoja na hela nao wanafiki atleast Wakenya sema Laveda haeleweki hajichanganyi na kujiona bora zambia na malawi walimpigia jj sasa Laveda achange she is really boring namkubali Idris hafu wenzake wana mchukulia utani hawa wa Rwanda wame ni bore

Rwanda atatuangusha East Africa kama Ethiopia mwaka Jana..
 
The head of house is,nhlanhla ..i dought km hatamweka idris kwenye kikaango
 
Rwanda hawatabiriki mana akina Arthur na frank wamempigia Laveda kura ya eviction pamoja na hela nao wanafiki atleast Wakenya sema Laveda haeleweki hajichanganyi na kujiona bora zambia na malawi walimpigia jj sasa Laveda achange she is really boring namkubali Idris hafu wenzake wana mchukulia utani hawa wa Rwanda wame ni bore

Si watrust wa Rwanda kabisa hata Ug hawashindwi hata kumpigia Idris siku nyingine wale.. ila dah sina amani Nhlanhla keshakuwa Hoh anaweza muweka Idris yuleee
Angekuwa mjanja angechagua winning team ndio amuweke kwenye nomination
 
Back
Top Bottom