Bendera kubeba sio kigezo. Inategemea amebebaje,kama kajibebea tu alipewa na mjomba wake atajibeba.Mh! Na bendera walizonazo?? Maana naona amebeba utaifa pale
Mh! Na bendera walizonazo?? Maana naona amebeba utaifa pale
Sema haki ya munguSubili huyo mtanzania ashinde ndio mtajua katumwa na selikali au na wazazi wake
Hapo ndipo mawazili watajitokeza na kuanza kumpamba sifa za kijinga.
Je mshindi akiwa ni Mtanzania pongezi watapewa wazazi wake au nchi anayotoka?
Kwani hizo bendera walikabidhiwa na nani? Maana kama ukienda kuwakilisha nchi lazima ukabidhiwe na kiongozi wa serikali. Na hilo hatukuliona likifanyika.
Bendera wamejikabidhi wenyewe tu.
Tena utashangaa zaidi mkulu wa nchi atamwita Ikulu kupata dinner pamoja nae chezea magamba weyeSitashangaa akishinda viongozi wa serikali wakijitokeza kumpongeza kuwa kaliwakilisha taifa vizuri, maana ilishatokea kwa Mwisho na Richard. Kifupi ni kwamba Tanzania ina upungufu na ukame wa mafanikio katika kila jambo kiasi kwamba hata kama leo yangeanzishwa mashindano ya (ashakum si matusi) ng.on.o mtanzania akishinda viongozi watajitokeza kumpongeza.
Kwa kifupi hayo mashindano sidhani kama Tanzania imetuma mwakilishi na kama wanapeperusha bendera za tanzania ni matumizi mabaya ya bendera ya taifa. Ila sioni ajabu, ndiyo Tanzania yetu hii tunaishi kwa mzaha tu.
Tena utashangaa zaidi mkulu wa nchi atamwita Ikulu kupata dinner pamoja nae chezea magamba weye
Nilivyoona last post ni wewe nikaamue nifungue huu uzi nione comment yako na nilichokikuta ndicho hicho nilichokihisi.
Bendera kubeba sio kigezo. Inategemea amebebaje,kama kajibebea tu alipewa na mjomba wake atajibeba.
Ili tuseme mtu amebeba bendera ya taifa ni lazima akabidhiwe na mamlaka halali mf.balozi,waziri nakadharika.