Mwanaspoti na Championi ndio akina nani hao?
ni mabasi ya dar-tunduma
Mwanaspoti na Championi ndio akina nani hao?
Ni members wa Al Shabab na Boko Haram...
Uko sahihi.
Tatizo Eddo ni kujifanya anajua kila kitu kuhusu mpira...asijue kuwa wanaoujua mpira na uchambuzi wake ni wengi na hasa ktk ulimwengu huu wa mitandao...na ajue yeye anafanya kama kazi wengine wanajua na kuchambua mpira kama hobby tu,so asifikiri yeye anajua yote ktk soka!!!Eddo mashauzi mengi..hataki kukosolewa kana kwamba anajua kila kitu...ni mtu wa majungu hata wafanyakazi wenzake wanalalamika anajidai much knower na mjuaji wa kila kitu.
Naye Salehe aache maneno ya vijembe afanye kazi,kuonyesha maneno kama hayo anathibitisha kuwa anaiogopa mwanaspoti...huwezi kupata hofu kwa kitu usichokiogopa...Champion kwa Mwanaspot ijipange
Mwanaspoti na Championi ndio akina nani hao?
...very high class busses,nayapenda sana bwana ulokolokwitanga nawe ukipanda utayapenda...ni mabasi ya dar-tunduma
Ninachokiona hapa
kulikua na bifu ya chini chni kati ya edo na salehe ila sasa inaota
mizizi. Salehe alimponda edo kwa kumwambia kuwa ni mtu ambaye anaziba
nafasi anazoziacha kwa maana alipoacha kazi dimba edo akaenda kuziba
pengo afu pia salehe alipotoka mwanaspoti edo akaenda kuziba
pengo
ni mabasi ya dar-tunduma
ni mabasi ya dar-tunduma
Magazeti yetu ni kwa ajili ya wasiosoma mitandao. 90% ya taarifa ni tafsiri kutoka The Sun, Daily Mail na Goal.Com. Unashindwa kuelewa waandishi wanasomea nini vyuoni? Waandishi wetu wanaenda vyuoni kujifunza kutafsiri kazi za watu?Mimi naona ni ile wanayoiita kwa Kiingereza, chungu kuliita birika ni jeusi (a pot calling a kettle black). Sioni kati yao wala magazeti yao mwenye uwezo wa kujifanya yeye kuwa legend na gazeti lake kuwa brand. Waandishi wetu wengi hupima uwezo wa wachezaji wetu kicheza ligi za Ulaya. Lakini hawajipimi wao kwa uwezo wa makala zao na wao wenyewe kukubalika huko wanakoyaka wachezaji wetu wakibalike. Wanabaki kuwa ni wakalimani wa mitandao ya nje, wakosoaji wa kila jambo la michezo linaloganyika Tanzania, na watetezi wa maslahi yao kupitia tawala za vilabu vyenye uwezo wa kuwatiizia. Tujiulize, lini magazeti haya yatanukuliwa na vyombo vya habari vya kimataifa kwa makala zao asilia (original) kama wao wanavyonukulu makala za wenzao?
Nashawishika kuamini kwamba siku hizi biashara ndio kila kitu. Taaluma, sanaa, siasa, dini, kila kitu kipo kwa ajili ya biashara kwanza, mengine baadaye. Ndio maana dansi asilia zinatoweka kwa muziki wa kizazi kipya, taarabu asili imeuliwa na modern taarab, makanisa ya mtu mmojammoja yanachipua kila siku, waislamu wanachezesha bakora misikitini kugombea uongozi, vyama vyetu haviongozwi kwa kufuata itikadi fulani (ideology), wachezaji mpira wanasaini mikataba zaidi ya mmoja ndani ya msimu mmoja. Kwa mtindo huu, huenda siku moja hata Katiba ikaruhusu watu kuuza nchi iwapo kutakuwa na kura za kutosha kuunga mkono hilo. E Mungu, tusaidie!Magazeti yetu ni kwa ajili ya wasiosoma mitandao. 90% ya taarifa ni tafsiri kutoka The Sun, Daily Mail na Goal.Com. Unashindwa kuelewa waandishi wanasomea nini vyuoni? Waandishi wetu wanaenda vyuoni kujifunza kutafsiri kazi za watu?
Hofu yangu kubwa ni kizazi chetu kama kweli tunapiga hatua intellectually, iweje magazeti yenye kubeba habari za copy and paste kwa 90% na kutafsiri habari kwa lugha tunayoitumia shuleni na vyuoni yaongozee kwa mauzo...Kuna shida hapa. Wingi wa vyuo na shule unatusaidia vipi?
Sijaelewa hata!