Bifu kubwa kati ya mwanaspoti na championi

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,174
Reaction score
1,462
Kwa kile kinachoonekana gazeti la mwanaspoti kuongeza matoleo katika wiki na kua mara 4 kwa wiki, kitendo hicho kimezua hasira kwa mwandishi nguli na mhariri wa championi bw salehe ally ambaye katika akaunti yake ya facebook aliandika "joto wameshalipata na jumatatu wataikimbia wenyewe" maneno hayo yaliashiria kitendo cha mwanaspoti kutoa toleo jumatatu ni kujipalia mkaa.. Hiyo si mara ya kwanza kwa salehe ally kulumbana na watu wa mwanaspoti kwani ikumbukwe mwezi mmoja uliopita alimshambulia kwa maneno machafu mchambuzi wa mwanaspot bw. Edo kumwembwe kwa madai ya kuingilia taarifa ambayo ilimuhusu bondia wiliam aliepigana na fransis cheka kuwa ni kinyozi huko kwao marekani
 
Tatizo Eddo ni kujifanya anajua kila kitu kuhusu mpira...asijue kuwa wanaoujua mpira na uchambuzi wake ni wengi na hasa ktk ulimwengu huu wa mitandao...na ajue yeye anafanya kama kazi wengine wanajua na kuchambua mpira kama hobby tu,so asifikiri yeye anajua yote ktk soka!!!Eddo mashauzi mengi..hataki kukosolewa kana kwamba anajua kila kitu...ni mtu wa majungu hata wafanyakazi wenzake wanalalamika anajidai much knower na mjuaji wa kila kitu.
Naye Salehe aache maneno ya vijembe afanye kazi,kuonyesha maneno kama hayo anathibitisha kuwa anaiogopa mwanaspoti...huwezi kupata hofu kwa kitu usichokiogopa...Champion kwa Mwanaspot ijipange
 
acha wivu kwa Edo
 
Brand ya mwanaspoti si eddo na brand ya champion si salehe,so vijembe,kutambia kwao ni harakati tu za kuhakikisha njaa njaa zao haziwi kali,nalielewa zaidi gazeti la mwanaspoti kuliko champion,i wish watoe kila siku.
 
Uko sahihi.
 
acha wivu kwa Edo

Jifunze...si kila anaekosoa ana wivu..siwezi kuwa na wivu kwa mtu nisiye na ushindani nae wa namna yoyote!!!Niliyoyatoa ni msimamo wangu na mtazamo tu...Naliheshimu Mwanaspoti kuliko magazeti mengine ya michezo ktk wachapishaji wa ndani
 
Ninachokiona hapa kulikua na bifu ya chini chni kati ya edo na salehe ila sasa inaota mizizi. Salehe alimponda edo kwa kumwambia kuwa ni mtu ambaye anaziba nafasi anazoziacha kwa maana alipoacha kazi dimba edo akaenda kuziba pengo afu pia salehe alipotoka mwanaspoti edo akaenda kuziba pengo
 
Brand ya mwanaspoti si eddo na brand ya champion si salehe,so vijembe,kutambia kwao ni harakati tu za kuhakikisha njaa njaa zao haziwi kali,nalielewa zaidi gazeti la mwanaspoti kuliko champion,i wish watoe kila siku.

Roger...there u r talking.....hawa si brand za magazeti wanayoandikia!!!...na tabia hii ya kujunguana kwa majungu ktk mitandao ya kijamii aliianza Eddo,aliinanga habari ya Salehe kuhusu Cheka...kuwa nje ya ngumi Cheka ana kiwanda cha chupa,nje ya mpira Rio ana Bar,nje ya uwanja Steve Gerald ana Mgahawa...so si ajabu mpinzani.wa Cheka kuwa kinyonzi nje ya ulingo wa ngumi...unaweza ukawa mtazamo sahihi,ila namna ulivyowasilishwa unakua ni kama jungu fulani.
Salehe pia alitakiwa kujiongeza..MCL kuchapisha Mwanaspoti kwa siku hizo za zaidi si jushindanisha na championi...bali ni ku-cover gape la kufungiwa kwa Mwanachi,na Mwanaspoti walisema itakuwa mwisho mwezi hii tarehe 30!!!Ni kujihami tu kwa Salehe!!!huwezi kuhofia kitu usichoogopa.
 
Ishu iliyokuwepo ni kuwa mwanaspoti waliongeza siku za kutoka baada ya gazeti dada la Mwananchi kufungiwa. Na walisema itakuwa kwa muda tu na ndio kilichotokea. Lililopo ni bifu la wajinga Salehe Ally na Eddo Kumwembe na halihusiani na hayo magazeti...
 
I know Champion, I know Mwanasport but let me kno Who is Edo? Who is Salehe then?
 
Wabongo wengi ustaarabu wa biashara bado sana......Sasa huyo jamaa wa Champion angepungukiwa nini kama angekaa kimya na kupiga kazi tu. Taarabu kila sehemu dah!!!!!!!!!!!!!!!!....kazi bado ipo sana
 
sasa makelele yanini wanapiga wakati wote .ni waajiriwa tu....
 
Kwa kile kinachoonekana gazeti la mwanaspoti kuongeza matoleo katika wiki na kua mara 4 kwa wiki, kitendo hicho kimezua hasira kwa mwandishi nguli na mhariri wa championi bw salehe ally ambaye katika akaunti yake ya facebook aliandika "joto wameshalipata na jumatatu wataikimbia wenyewe" maneno hayo yaliashiria kitendo cha mwanaspoti kutoa toleo jumatatu ni kujipalia mkaa.. Hiyo si mara ya kwanza kwa salehe ally kulumbana na watu wa mwanaspoti kwani ikumbukwe mwezi mmoja uliopita alimshambulia kwa maneno machafu mchambuzi wa mwanaspot bw. Edo kumwembwe kwa madai ya kuingilia taarifa ambayo ilimuhusu bondia wiliam aliepigana na fransis cheka kuwa ni kinyozi huko kwao marekani

Mwisho wa siku Saleh Ally anabaki kuwa mfanyakazi tu wa Shigongo, kama ilivyo kwa Eddo Kumwembe kwa Agha Khan. Hebu acheni utoto wakati ninyi ni waajiriwa tu na iko siku mtaziachia hizo ajira na watakuja wengine.
Na wewe Saleh Ally hebu acha ushamba wako kwa kulumbana na waandishi wenzako kwa ajili ya mali za Shigongo, hiyo nafasi ya kulumbana na watu mwachie mkewe Shigongo, kwani ndio hasa inayomuhusu, wewe fanya kazi tu upate mshahara wako ukalale, achana na vijembe vya kike.
 
hiyo habari ilikaa kimajungu basi! sitaki kuamini kinyozi anaweza kupambana mpaka round ya mwisho wangesema tu ni boxer ambaye ni kinyozi part time. magazeti yanavutia wateja kwa vichwa tata.
 
Back
Top Bottom