Bifu kubwa kati ya mwanaspoti na championi

Bifu kubwa kati ya mwanaspoti na championi

jambo la pili wachangiaji mnalochemsha ni kudai vyombo vya Tanzania vinatafsiri habari za goal.com au the sun etc, binafsi naamini hiyo ni kawaida kwenye vyombo vingi duniani,mana hata hao goal hutoa taarifa the sun, independent etc na habari za nje ya uingereza hutolewa labda marcia spain, bild ujerumani, L'equipe ufaransa au gazette dello sport Italia, sasa na wao wanakopi?Unataka kuniambia wewe ukienda goal leo ukasoma habari inayotoka America kusini iliandikwa na mwandishi wa goal toka Brazil au Peru?
 
kweli kabisa mkuu hata game ya starz na moroco jamaa wa gazet la italy walitoa source kuwa ni vyombo vya habar Tanzania
 
Wana JF wengi wanajifanya wanajua sana,wanajiona wao ndio vichwa kweli kweli...hivi leo imetoka tetesi kuwa CR7 anataka kurudi Man Utd,the Sun wakaandika,Daily mail wakaandika, je ni kosa kwa magazeti ya Bongo kuandika tetesi hiyo kwakuwa tu eti magazeti ya wazungu wameandika?acheni hizo.
 
Magazeti yetu ni kwa ajili ya wasiosoma mitandao. 90% ya taarifa ni tafsiri kutoka The Sun, Daily Mail na Goal.Com. Unashindwa kuelewa waandishi wanasomea nini vyuoni? Waandishi wetu wanaenda vyuoni kujifunza kutafsiri kazi za watu?
Hofu yangu kubwa ni kizazi chetu kama kweli tunapiga hatua intellectually, iweje magazeti yenye kubeba habari za copy and paste kwa 90% na kutafsiri habari kwa lugha tunayoitumia shuleni na vyuoni yaongozee kwa mauzo...Kuna shida hapa. Wingi wa vyuo na shule unatusaidia vipi?
Mkuu umesahau na ESPN,na skysport. Wanatoa huku wana edit kwa kufananisha na upepo.uliokuwepo
 
Wana JF wengi wanajifanya wanajua sana,wanajiona wao ndio vichwa kweli kweli...hivi leo imetoka tetesi kuwa CR7 anataka kurudi Man Utd,the Sun wakaandika,Daily mail wakaandika, je ni kosa kwa magazeti ya Bongo kuandika tetesi hiyo kwakuwa tu eti magazeti ya wazungu wameandika?acheni hizo.[/QUOTE

Si kosa lkn waweke source of information sio waandike utafikiri walikuwepo.
 
Mnapowazuia wasitafsiri wanachokiona goal, espn skysport etc mlitaka wapate habari? Sio habari za michezo 2 mbona hata habari za kimataifa zinatoka vituo vikubwa vya television kama cnn, sky newz n.k
 
Eddo kumwembe mpira anaujua,anayebisha na abishe tu.mwanaspoti wako juu kuliko champion,hilo halina ubishi ukatae ukubali.
 
Back
Top Bottom