PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,182
Ohooooo!!!Ukitaka kupima akili za huyo Le Mtumboz sikiliza alichoongea kwenye 40 ya mtoto wa Diamond..
" kwanza kabisa inabidi tumshukuru mwenyezi Mungu kwa sababu ya kutusaidia wote tuliomo humu ndani hakuna alieitwa Central police ingawa watu wengi tu wangependa tuitwe..... "
Imagine mtu wa age yake... 59yrs ndio alichoanza nacho kwenye speech yake.
Hana akili.




