Bifu gani ilitikisa Taifa?

Tmk na east coast team
Mzee wa msoga na babu seya
Kikosi cha mizinga na nako 2 nako
Mchonga meno vs mzee jumbe,
Kuna yule jamaa alifungiwa kijijini kwao hata akitaka kutoka lazima taarifa atoe serikali ya mtaa vs mchonga meno.
Mondi na clouds fm.
 
Bifu la RIP Mzee Mengi na Prof. Muhongo baada ya Prof kumchana mzee Machache kwamba hana pesa ya kuwekeza kwenye Gesi na mafuta pesa zake labda zinatosha kutengeza Vijuisi. Paliwaka moto
 
Manji na Jiwe
 
Zay B na sister P mnawaachaje? wale bifu lao lilikuwa real mpaka wakatungiana mashairi ya kujibishana ikawa burudani kwa mashabiki wao. Hilo bifu ilibidi waandishi wa habari wawakutanishe waombane msamaha. Kuna bifu lingine la waimba taarabu Nasma Kidogo na Khadija Kopa mpaka wakatungiana mipasho, mmoja akamuona mwenzake hana 'taarabu' na mwingine akaonwa ni sanamu la michelin
 
Reginald mengi vs fisadi papa
Bashite vs gwajima
Magufuli vs lissu
Kigogo2014 vs kamanda sirro
 
Hapo zilizokuwa bifu serious ni namba 1, 3, 4 na 7 tu hayo mengine ya kawaida sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…