Bifu gani ilitikisa Taifa?

Udaku nao hawajambo.
Juma Nature na Sintah.
Kiroboto akaibuka na wimbo Sitaki Demu album ya Ugali.
Akawalisha ugali watoto wa kishua Diamond Jubilee Hall.
Sinta akakimbia kuigiza na utangazaji habari sababu ya Nature.
 
Bifu la Simba na Yanga
 
Nyerere vs Idd Amin.
Amin akamkashifu Nyerere na kumuomba waingie ulingoni wazipige kavu mfano wa akina Mandonga. Nyerere akampelekea Idd Amin akina Musuguri na magobole yao wakamtimua Amin akale tende Arabuni na kobazi zake.
 
Kuna ile Bifu ya King Off All Bongo Social Media (R.I.P) na Dada wa Taifa (Mange) ile ilikuwa siyo poa kabisa (kuchoreshwa kiOCRA siyo poa kabisa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…