Hazi-determine ila lazima ushughulike kupata hizo kila jimbo ndipo ushinde hizo za electrol college. Kwa hiyo si sahihi kusema poular votes siyo determinant. Kila state bila kushinda popular votes huwezi pata zile special. Main determinant ni popular votesWho cares about popular votes? Popular votes ndo zina determine mshindi?
Au wewe hoja yako hapa ni kuwa Biden atashinda popular votes?
Kama hiyo ndo hoja yako, basi sawa. Maana Democrats siku zote huwa wana advantage na national popular votes kwa sababu ya majimbo ya California, New York, na Illinois.
Lakini ukiangalia hata ni mgombea yupi huwa anashinda majimbo mengi kati ya majimbo 50 ya Marekani, almost always ni GOP.
Duh!Hazi-determine ila lazima ushughulike kupata hizo kila jimbo ndipo ushinde hizo za electrol college. Kwa hiyo si sahihi kusema poular votes siyo determinant. Kila state bila kushinda popular votes huwezi pata zile special. Main determinant ni popular votes
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Well, how about you put your money where your mouth is?Acha mbwembwe Kiongozi. Trump hashindi hata huku Texas. Kipinde alishinda sababu tu alishindanishwa na mwanamke
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Huu ndio ukweli mwenyewe.Kipindi kile Cha 2016 pamoja na kwamba Clinton alipewa nafasi ya kushinda lakini kwenye kura za maoni walikuwa wanazidiana kidogo sana ukilinganisha na mwaka huu. Pia kipindi kile Trump alikuwa hajapimwa kwenye uongozi.
Kwa Sasa tayari alipewa miaka minne na analaumiwa na wengi hasa kwa kushindwa kudhibiti korona ndani ya Marekani, pamoja na the way he act as a president.
We una ubishi usio na tija. Unavosema hau-determine sijui una maana gani. Sema siyo determinant pekee. Mgombea lazima atafute popular votes kwanza kwa kila state then ndiyo zimpe special votes. Na ni mara chache imetokea kwa Rais kushinda kura maalumu bila kushinda overall popular votes.Duh!
Hata tahajia nyepesi nyepesi zinakushinda?
Ndo maana hata hujaelewa kinachozungumziwa hap
Kinachozungumziwa hapo ni national popular votes.
National popular votes hazi determine mshindi wa urais.
Unabisha?
National popular vote hai determine mshindi wa urais Marekani.We una ubishi usio na tija. Unavosema hau-determine sijui una maana gani. Sema siyo determinant pekee. Mgombea lazima atafute popular votes kwanza kwa kila state then ndiyo zimpe special votes. Na ni mara chache imetokea kwa Rais kushinda kura maalumu bila kushinda overall popular votes.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hebu fuatilia mjadala ulipoanzaia wewe kilaza...
Inaonekana una stress au ni mfuta bangi fulani tuu.Au ni mmoja wa ma homeless hapo LA maisha yanshakuchapa sasa unapunguza stress kwa watu usiowajua..Najua mjadala ulipoanzia,tatizo umerukia kwenye comment yangu na matusi yako ya kiliberali.Idiot
Kwa akili yako unafkiri sijui tofauti ya NYT na NYP,nilikuuliza unaposema NYT inaheshimika,inaheshimika na kina nani??SirChief, New York Times inaheshimika na ni gazeti (Newspaper) na New York Post ni kijarida cha udaku (tabloid). I rest my case!
Msiamini sana opinion polls nyingi zinakuwa manipulated na main stream media kutokana na wamiliki wa makampuni hayo hawaungi mkonoTrump, kumbukeni walivyo kuwa wanampigia debe Hillary Clinton kwamba angeshinda kinyanganyilo cha Urais, sasa nini kilitokea eventually? Trump alimshinda Clinton.Trump yupo nyuma sana katika kura za maoni
Huu ndio ukweli mwenyewe.
Sioni namna ambavyo Trump anaweza kutoboa mwaka huu.
Kwenye kura za maoni kaachwa nyuma, kwenye uchambuzi wa midahalo yote mitatu kaachwa nyuma na kwenye agenda muhimu zinazowagusa wamerekani wengi (Ubaguzi, Corona, Ajira) kaachwa nyuma. Sioni mahali ambapo Trump anaweza kusimamia ili kuweza kushinda.
Mkuu hilo linajulikana tangu awali trumpet hana chake. Tulisema hata ile awamu ya kwanza, huwzi kuwa rais wa nchi hasa USA wakati hakuweza hata kuonyesha alikuwa anachangia kiasi gani cha kodi kwenye uhai wake wa kufanya kazi. Trumpet ni jambazi mbobezi, na wananchi wa USA waliingia choo cha kike.Imebaki wiki tatu lakini naamini
Biden keshashinda na Trump keshashindwa.
Nimeangalia factors tofauti
1. pesa ..siku zote mgombea anaeweza changisha hela nyingi anashinda
Biden kamzidi Trump Kwa mbali
2. swing states..
Ohio na Florida kote Biden ana lead
3. Pandemic.
Hili mradi ni main news Trump hawezi shinda..
Naona Biden atakuwa new President
Trump is done..
Nyani Ngabu,
..Nasikia Biden atapata ushindi wa kishindo / landslide.
..eti Biden atashinda electoral college vote 290 huku Trump akiambulia 163.
..hizo habari ni kweli?
Honestly speaking, I don’t know who’s gonna win.Nyani Ngabu,
..kwa hiyo unadhani Trump atashinda?
..unajua uchaguzi mzuri ni ule ambao mshindi hajulikani mpaka dakika za majeruhi.
..napenda zile chaguzi ambao waandishi husema ni " too close to call. "
..natamani siku moja na sisi Watanzania tufike huko, tuwe na chaguzi za namna hiyo.
Honestly speaking, I don’t know who’s gonna win.
Mimi siku zote huwa nasema kura zinazo matter ni zile kura za kweli zinazopigwa siku ya uchaguzi.
Opinion polls don’t count...
Trump anashindaTrump yupo nyuma sana katika kura za maoni
Biden hashindiHillary hakuwahi kuwa na lead zaidi ya asilimia 50..Trumpa waliokuja kumpa ushindi ni undecided voters..
Halafu hata Hillary alishinda popular votes
Alimzidi Trump kura milioni 2
Sasa Trump aliibukia majimbo ambayo Biden now anaongoza zaidi ya asilimia 7
Trump Hana pa kupita this time