Nadhani hukuielewa sarcasm yangu.
Ni kwamba, CNN wamepoteza kabisa credibility yao ndo maana nikashangaa ulivyosema CNN.
Na hata kama Trump kaongea nao, itakuwa ni kupata tu taarifa za kinachoendelea jimboni na si kutaka ku influence chochote maana, kama nilivyokuambia, magavana na mameya, hawahusiki na uhesabuji wa kura.
Naamini hata Joe Biden atakuwa kaongea na mameya wa Phoenix na Atlanta, ambao ni supporters wake.
Tena meya wa Atlanta alikuwa kwenye shortlist ya VP choices wa Biden, na naamini anaweza hata kuwepo kwenye cabinet yake.