Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,391
- 88,767
Anko Juju you're missedThen and now. 2016 & 2020.
Hebu linganisha.....yalikuwa ni makadirio kabla ya uchaguzi.
Anko Juju you're missedThen and now. 2016 & 2020.
Hebu linganisha.....yalikuwa ni makadirio kabla ya uchaguzi.
Miss you more!Anko Juju you're missed
Nataka kulala kesho.Miss you more!
Lala basi...usiku mnene huu![]()
Kama ukisoma kwa makini, utaona popular votes ndio zinakupa electoral college kwa kila jimbo.Nimependa hiyo ya senate kuhesabu na kuhakiki kura zote.Inapunguza vote rigging.
Iwapo electoral college vote ndio muhimu basi kuna haja gani ya kuwa na popular votes
Sante sanaKama ukisoma kwa makini, utaona popular votes ndio zinakupa electoral college kwa kila jimbo.
Pitia taratibu tu kuna taarifa zote muhimu...
Ile NEC ya Marekani ni kama hii ya kwetu au yenyewe ipo huru?



NEC ya Marekani sio...Marekani hawana NEC boss. Wana chombo cha kusimamia sheria za kampeni hasa suala la fedha kwenye kampeni (FEC), na kisha uchaguzi iwe wa Shirikisho, Jimbo ama ngazi ya "Mitaa" yanasimamia majimbo husika.Ile NEC ya Marekani ni kama hii ya kwetu au yenyewe ipo huru?
Teh Teh TehNEC ya Marekani sio...
" He call them proud Boyz

1. michango kwa Biden inaonekana kuna walakini, kuna wachangiaji hawajulikani wamekua wakichangia kiwango kikubwa sana (unakuta mtu hatajwi ila amechangia more than 1mil)...... hili linaleta hisia kwamba huyu ni wakala tuImebaki wiki tatu lakini naamini
Biden keshashinda na Trump keshashindwa.
Nimeangalia factors tofauti
1. pesa ..siku zote mgombea anaeweza changisha hela nyingi anashinda
Biden kamzidi Trump Kwa mbali
2. swing states..
Ohio na Florida kote Biden ana lead
3. Pandemic.
Hili mradi ni main news Trump hawezi shinda..
Naona Biden atakuwa new President
Trump is done..
4. Pollsters wanaweza kuwa target wapiga kura wa mlengo fulani ili wapate matokeo wanayoyataka!1. Kwa hiyo unakubali kwamba si kweli kuwa Hilary hakuwa kuongoza zaidi ya asilimia 50 kwenye kura za maoni?
2. Rais wa Marekani hachaguliwi na national popular votes. So national popular votes don’t mean a hill of beans.
3. Don’t get it twisted. Biden hashindi Texas. Sisemi hawezi kushinda urais. Bali, nasema jimbo la Texas litabaki kuwa jekundu. And I can put my money on it. 1K....
4. Nadhani pia huzielewi vizuri hizi opinion polls. Kwanza, wala huwa hazi count. Pili, pollsters wanaweza ku frame maswali yao ili wapate matokeo wanayoyataka.
umewahi kumsikiliza Biden? mtu yeyote timamu hawez mpa kura Biden, ushindi wa Biden ni kumpa uraisi Kamala Harris kitu ambacho hawawezi kufanya!Hii ni 2020. Sioni Trump akishinda. I trust Americans and their sense of good judgement. Ila ikitokea Trump akashinda basi imani yangu kwa marekani na wamarekani itapungua sana
Namsikiliza Biden na Trump kila siku. Mtu mwenye akili timamu na utu ndani yake hawezi kumpa kura Trumpumewahi kumsikiliza Biden? mtu yeyote timamu hawez mpa kura Biden, ushindi wa Biden ni kumpa uraisi Kamala Harris kitu ambacho hawawezi kufanya!
sawa, kama unaweza mpa kura mtu anaepoteza kumbukumbu then fine, it means you are voting for Kamala......Namsikiliza Biden na Trump kila siku. Mtu mwenye akili timamu na utu ndani yake hawezi kumpa kura Trump
Nani anapoteza kumbukumbu? Una ushahidi?sawa, kama unaweza mpa kura mtu anaepoteza kumbukumbu then fine, it means you are voting for Kamala......
then again, taarifa nyingi tunazopewa kuhusu trump ni fake, media nyingi hazimpi coverage nzuri!
Nani anapoteza kumbukumbu? Una ushahidi?
Tunapewa taarifa feki? Lete mfano labda maana maamuzi, maneno yote anayozungumza yako wazi sasa sijui unazungumza nini
Huu ndo ushahidi? Ndo diagnosis hii? Yani mtu kusahau maneno mawili matatu ndo tayari nongwa?. Wewe hujawahi kusahau/kupoteza kumbukumbu?
Unataka ushahidi wa aina gani boss? Tafuta mwenyewe video zake za aina hii tangu aanze kampeni. Hayupo wa kukukusanyia ushahidi. Ukipewa pa kuanzia unaendelea hata kama chongo ni kengeza kwako!Huu ndo ushahidi? Ndo diagnosis hii? Yani mtu kusahau maneno mawili matatu ndo tayari nongwa?. Wewe hujawahi kusahau/kupoteza kumbukumbu?
The difference this time maybe cz Biden mwanaume.,Nikikumbuka hillary Clinton alivyokuwa anaonekana atamshinda Trump... na bado akafeli..
Nina uhakika hata huyu Biden atafeli pia
Trump anajua kucheza na wapiga kura muhimu..
Trump mjanja mjanja.. hata watu wanashangaa enzi zake za utoto after high school alipataje nafasi ivy league university wakati hakuwa na vigezo vya ivy league