Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,132
- 136,944
Alizipingaje? Waweza tuwekea ushahidi kwamba alizipinga?Cha ajabu hizo electoral college Trump alizipinga sana 2016 na ndio zilimfanya ashinde. Ni Yesu Tu ndio anampigania Trump.
Alizipingaje? Waweza tuwekea ushahidi kwamba alizipinga?Cha ajabu hizo electoral college Trump alizipinga sana 2016 na ndio zilimfanya ashinde. Ni Yesu Tu ndio anampigania Trump.
Kuna hiyo, halafu pia kuna suala la impeachment.hii electoral college wabongo wengi huwa inatupiga chenga kuielewa
Really? Unaongea kwa ‘kujua’ au ‘kusadiki’ tu?
Mimi sijui atayeshinda. 2016 nilidhani Trump wala asingepata nomination. Lakini akapata. Baada ya kupata nikasema kuwa game over, Hilary anashinda kiulaini.
Then what happened?
By the way, unaweza kunielezea kuhusu hii opinion poll ya Time magazine iliyoonyesha kuwa Hilary atashinda au yuko ahead kwa asilimia 14?
Hillary Clinton Leads Donald Trump by 14 Points Nationally in New Poll
Na hapo sijataja conspiracy theory ya kwamba eti Rais wa Marekani huchaguliwa na ka kikundi ka watu wachache walio mafichoni 🤣.
Anywho, hiyo kura ya maoni ya Time magazine ilitoka October 2016. Huu ni mwezi gani vile? December?
Mkuu NN Trump amekuwa anapinga saa hii system ya Electral college na jinsi anavyopinga njia ya post a na labda itamuinua.Alizipingaje? Waweza tuwekea ushahidi kwamba alizipinga?
1. Kwa hiyo unakubali kwamba si kweli kuwa Hilary hakuwa kuongoza zaidi ya asilimia 50 kwenye kura za maoni?Hillary won the popular votes, zaidi ya kura milioni 2. So hata polls hazikuwa that wrong sana
This time Biden anarekebisha makosa. Latest polls hadi Texas Biden ana lead. Sioni how Trump atashinda
Who cares about popular votes? Popular votes ndo zina determine mshindi?Kwani Nani alishinda popular votes
Clinton ali lead nationally na alishinda popular votes.
Oh, kumbe unazungumzia mambo ya 2012!Mkuu NN Trump amekuwa anapinga saa hii system ya Electral college na jinsi anavyopinga njia ya post a na labda itamuinua.
Donald Trump blasted the electoral college in 2012, before it gave him the presidency
1. Kwa hiyo unakubali kwamba si kweli kuwa Hilary hakuwa kuongoza zaidi ya asilimia 50 kwenye kura za maoni?
2. Rais wa Marekani hachaguliwi na national popular votes. So national popular votes don’t mean a hill of beans.
3. Don’t get it twisted. Biden hashindi Texas. Sisemi hawezi kushinda urais. Bali, nasema jimbo la Texas litabaki kuwa jekundu.
4. Nadhani pia huzielewi vizuri hizi opinion polls. Kwanza, wala huwa hazi count. Pili, pollsters wanaweza ku frame maswali yao ili wapate matokeo wanayoyataka.
Yawezekana hata wewe hao pollsters uliowaangalia hawako credible vilevile.Kuna pollster tofauti
Sasa hao waliosema Hillary ana lead sana
Labda hawakuwa that credible..labda
Yes hachaguliwi na national popular votes
My opinion imeangalia zaidi states anazo lead
Na sio popolar votes only..
Kama Ohio na Florida kote ana lead vizuri
Sioni Trump anashindaje
Kweli kabisa. Mwalimu wetu wa Civics O level alitudanganya kwamna hii electoral college ni Wamarekani wachache ambao wamesoma na wana hela ndo wanapiga kura na kuamua hatima ya urais wa Marekani. Nilivyokuja kugundua kuwa alitutia changa la macho nilicheka sanahii electoral college wabongo wengi huwa inatupiga chenga kuielewa
Hivi ni kwa nini supporters wa Trump wengi wao huwa wako likely kutojihusisha nae hadharani?Yawezekana hata wewe hao pollsters uliowaangalia hawako credible vilevile.
Huko Ohio na Florida umeangalia polls gani?
And btw, unajua kuwa opinion polls hazi count?
Unajua kuwa kwenye opinion polls watu wanaweza kudanganya? Mtu anakwambia atampigia kura fulani lakini akienda kwenye voting booth anapiga tofauti na alivyokuambia?
Sijui uko wapi. Lakini kama uko Marekani, basi utagundua kuwa watu wengi wanaomuunga mkono Trump huwa hawapendi kusema sema hadharani kuwa wanamuunga mkono.
Na hiyo ni moja ya sababu inayoweza ku skew hizo opinion polls...
🤣🤣🤣🤣🤣Kweli kabisa. Mwalimu wetu wa Civics O level alitudanganya kwamna hii electoral college ni Wamarekani wachache ambao wamesoma na wana hela ndo wanapiga kura na kuamua hatima ya urais wa Marekani. Nilivyokuja kugundua kuwa alitutia changa la macho nilicheka sana
Kuna pollster tofauti
Sasa hao waliosema Hillary ana lead sana
Labda hawakuwa that credible..labda
Yes hachaguliwi na national popular votes
My opinion imeangalia zaidi states anazo lead
Na sio popolar votes only..
Kama Ohio na Florida kote ana lead vizuri
Sioni Trump anashindaje
Simple!Hivi ni kwa nini supporters wa Trump wengi wao huwa wako likely kutojihusisha nae hadharani?