Biden atashinda, Trump is done

Biden atashinda, Trump is done

Majimbo ya
Georgia
Pensilvania
Arizona
Nevada
Yote karibu Viongozi wake ni Trump supporters..
Magavana ni Republican
Mayors Republican..

Wanaibaje kura??
Trump haamini macho yake namba zinavyobadilika kwa kasi ya ajabu Georgia na Pennsylvania. Ndo maana alikuwa anapinga mail in ballots maana anajua nyingi ni za democrats na ndo zinahesabiwa saivi
 
Majimbo ya
Georgia
Pensilvania
Arizona
Nevada
Yote karibu Viongozi wake ni Trump supporters..
Magavana ni Republican
Mayors Republican..

Wanaibaje kura??
Unajua jinsi chaguzi zinavyoendeshwa kweli?

Au unahisi, kudhani, na kusadiki tu?

Marekani, magavana na ma meya hawahusiki kabisa na usimamizi wa chaguzi, achilia mbali uhesabuji wa kura.

Ni secretaries of state ambao ndo huhusika, ingawa nao hawahusiki moja kwa moja na uhesabuji wa kura.

Wahusika wakuu wapo kwenye counties. Unajua counties ni nini?

Hao wahusika wakuu wa kwenye counties ndo wanaweza kucheza michezo michafu.

Ukikuta county government iko chini ya Dems au Repubs, halafu matokeo yachelewe, hapo ndipo mianya ya figisu inapotokea, hususan kama county government iko chini ya viongozi wa chama A au B.

Jingine, Pennsylvania na Nevada, magavana wake ni Dems.

Georgia na Arizona, magavana wake ni Repubs.

Lakini meya wa Atlanta ni Dem. Meya wa Phoenix ni Dem [simaanishi dem mwanamke. Ni Democrat. Ingawa pia mameya wote hao ni wanawake😄]. Hata Maricopa county, Phoenix, ipo chini ya Dems.

Fulton County, ambayo ndo most populous county kwenye jimbo la Georgia, ambapo mji wa Atlanta upo, ipo chini ya Dems. Na kwenye jimbo hilo, hiyo ndo moja ya counties za mwisho kuripoti matokeo.

Uwezekano wa figisu upo maana walio in charge na kuhesabu kura, inategemea na hao local election officials.

Governors na mayors hawana usemi wowote ule na hata matokeo huwa hayapelekwi kwenye ofisi zao.

Matokeo hutangazwa na ofisi ya Secretary of State.

Trump kashindwa si kwa sababu ya sera zake, bali style yake [au unaweza kusema character yake].

Ni vyema kuuelewa vizuri mfumo wa chaguzi za Marekani ukoje...
 
Wananchi ndo wanaochagua ndio maana wanaenda kupiga kura. Hao wajumbe unaowasemea wao wanapiga kura mshindi akiwa ameshajulikana Ni Nani, na ndio maana wanapiga kura wiki kadhaa baada ya Uchaguzi na Ni vigumu kubadilisha matokeo kwani huenda Kama kumuidhinisha Rais mteule.

Unachopaswa kufahamu Ni kwamba hao wawakilishi wanatoka kila Jimbo na kila Jimbo Lina idadi ya wawakilishi. Iko hivi; mgombea anayeongoza kwa kupata Kura nyingi kutoka za wananchi katika Jimbo Fulani Basi ndiye anayechukua zile kura za wawakilishi. Mfano New York ina wawakilishi/ electral colleges 20 Basi Biden akiongoza kwa kupata kura nyingi za wananchi anazawadiwa 20 na hizo ndo kura zake. Utaratibu huu utaendelea hivo kwa majimbo yote. Baada ya hapo kinachojumlisha Ni idadi ya namba za wawakilishi ulizojikusanyia kutoka kila Jimbo ambalo umeongoza kwa kupata kura nyingi A wananchi.
Na hii system imesaidia leo watu wanagombania Nevada lenye watu wachache, USA haijawahi kuamuliwa na State kubwa kama California au Texas mimi nadhani ni mfumo bora kabisa hivi vi state vidogo wenye polutaion ndogo hata ikitokea sio tajiri sana lakini inatokea ndio wanaamua nani awe raisi. Ingekuwa kwetu Tz naona hata Pemba wangekuwa wanatuchagulia tatizo kwetu zote kijani 🤣 🤣 🤣
 
Florida ni jimbo dogo?

Ni jimbo gani lililoamua uchaguzi wa 2000?
 
Unajua jinsi chaguzi zinavyoendeshwa kweli?

Au unahisi, kudhani, na kusadiki tu?

Marekani, magavana na ma meya hawahusiki kabisa na usimamizi wa chaguzi, achilia mbali uhesabuji wa kura.

Ni secretaries of state ambao ndo huhusika, ingawa nao hawahusiki moja kwa moja na uhesabuji wa kura.

Wahusika wakuu wapo kwenye counties. Unajua counties ni nini?

Hao wahusika wakuu wa kwenye counties ndo wanaweza kucheza michezo michafu.

Ukikuta county government iko chini ya Dems au Repubs, halafu matokeo yachelewe, hapo ndipo mianya ya figisu inapotokea, hususan kama county government iko chini ya viongozi wa chama A au B.

Jingine, Pennsylvania na Nevada, magavana wake ni Dems.

Georgia na Arizona, magavana wake ni Repubs.

Lakini meya wa Atlanta ni Dem. Meya wa Phoenix ni Dems. Hata Maricopa county, Phoenix, ipo chini ya Dems.

Fulton County, ambayo ndo most populous county kwenye jimbo la Georgia, ambapo mji wa Atlanta upo, ipo chini ya Dems. Na kwenye jimbo hilo, hiyo ndo moja ya counties za mwisho kuripoti matokeo.

Uwezekano wa figisu upo maana walio in charge na kuhesabu kura, inategemea na hao local election officials.

Governors na mayors hawana usemi wowote ule na hata matokeo huwa hayapelekwi kwenye ofisi zao.

Matokeo hutangazwa na ofisi ya Secretary of State.

Trump kashindwa si kwa sababu ya sera zake, bali style yake [au unaweza kusema character yake].

Ni vyema kuuelewa vizuri mfumo wa chaguzi za Marekani ukoje...

Ukitazama CNN mara kadhaa wanasema
Trump alikuwa anawapigia simu Magavana WA hayo majimbo ambao mostly ni Republicans...

Sijaona nilichoongea tofauti..
Wasimamizi WA vyama vyote wanakuwepo kwenye usimamizi wa kura.
Au county ikiwa democrats wanakuwepo Democrats alone kwenye kusimamia na kuhesabu??
 
Pamoja na yote hata kama kuna mapungufu japo siamini mambo ya wizi sababu ya Tech lakini hata kama upo kiasi kitu kimoja kila kitu wanaweka wazi utasema unatizama EPL league table unaona tu akishinda hapa point 3 japo inatokea marefa wanafanya vitu vya ajabu wakati mwingine lakini husikii shutuma labda wanafanya figisu figusi, Naomba siku moja chaguzi zetu tufikie huko Tech ipo kila kituo matokeo moja kwa moja kwenye TV tunaona tu points zinaongezeka hakuna tusubiri fulani ajumlishe, kituo kina watu 400 tu kweli tunashindwa kupata haki. USA uchaguzi ni entertainment una enjoy kuangalia.
 
Ukitazama CNN mara kadhaa wanasema
Trump alikuwa anawapigia simu Magavana WA hayo majimbo ambao mostly ni Republicans...

Sijaona nilichoongea tofauti..
Wasimamizi WA vyama vyote wanakuwepo kwenye usimamizi wa kura.
Au county ikiwa democrats wanakuwepo Democrats alone kwenye kusimamia na kuhesabu??
Achana na huyo ni pro trump halafu yupo Georgia. Anapata kichaa kama baba ake Trump
 
Ukitazama CNN mara kadhaa wanasema
Trump alikuwa anawapigia simu Magavana WA hayo majimbo ambao mostly ni Republicans...

Sijaona nilichoongea tofauti..
Wasimamizi WA vyama vyote wanakuwepo kwenye usimamizi wa kura.
Au county ikiwa democrats wanakuwepo Democrats alone kwenye kusimamia na kuhesabu??
CNN? Seriously???

Magavana wa majimbo gani ambao ni mostly Republicans?

Ulichoongea kilicho tofauti ni kusema kuwa kama Gavana na mameya ni Republicans, basi ni vigumu kuiba kura.

Mimi ndo nikaenda ndani zaidi na kukueleza kuwa, magavana na mameya hawahusiki na chochote kuhusu uhesabuji wa kura. Nikakueleza ni akina nani wanahusika na uhesabuji.

Kuhusu uhesabuji, wanatakiwa kuwepo waangalizi toka pande zote. Ila, chaguzi zilizo hotly contested hazikosi figisu.

Huko PA kuna waangalizi wa GOP waliotimuliwa kutoka kwenye baadhi ya vyumba vya kuhesabia kura mpaka wakaenda mahakamani.

Na hii system imesaidia leo watu wanagombania Nevada lenye watu wachache, USA haijawahi kuamuliwa na State kubwa kama California au Texas mimi nadhani ni mfumo bora kabisa hivi vi state vidogo wenye polutaion ndogo hata ikitokea sio tajiri sana lakini inatokea ndio wanaamua nani awe raisi. Ingekuwa kwetu Tz naona hata Pemba wangekuwa wanatuchagulia tatizo kwetu zote kijani 🤣 🤣 🤣
Duh!!!

Hivi una habari hivi sasa Nevada yenye electoral college chache imekuwa keki kwa sababu majimbo makubwa kama CA, TX na FL yameshafanya maamuzi?

Ulishawahi kujiuliza Biden angekuwa katika hali gani lau kama CA ingeenda kwa Trump?

Ulishawahi kujiuliza hivi sasa tungekuwa tunaongea lugha ipi lau kama FL na TX zingeenda kwa Biden?

Hao NV wamekuwa keki kwa sababu wanachelewa kutoa matokeo, na kwahiyo pamoja na uchache wao wa college votes bado ni muhimu kufanya maamuzi!!

Ni kama inapotokea kinyang'anyiro ambacho X amepata 48.5%, Y amepata 49%, na Z amepata 2.5% with condition ya mshindi awe amepata angalau 50%+1 !!!!

Hapo huyo Z pamoja na kura zake kiduchuku, atagombewa na both, X and Y aungane nae ili hatimae mmoja wapo apate 50%+1
 
CNN? Seriously???

Magavana wa majimbo gani ambao ni mostly Republicans?

Ulichoongea kilicho tofauti ni kusema kuwa kama Gavana na mameya ni Republicans, basi ni vigumu kuiba kura.

Mimi ndo nikaenda ndani zaidi na kukueleza kuwa, magavana na mameya hawahusiki na chochote kuhusu uhesabuji wa kura. Nikakueleza ni akina nani wanahusika na uhesabuji.

Kuhusu uhesabuji, wanatakiwa kuwepo waangalizi toka pande zote. Ila, chaguzi zilizo hotly contested hazikosi figisu.

Huko PA kuna waangalizi wa GOP waliotimuliwa kutoka kwenye baadhi ya vyumba vya kuhesabia kura mpaka wakaenda mahakamani.

Wolf Blitzer
Na John King repeatedly wame zungumza
Kuhusu complaints za Trump kuwa anaibiwa kura na hii point ya Magavana kuwa wa Republican wameitaja wao..

Na hata suala la Trump kuwapigia simu hao Magavana ..

Sio Tu Magavana ni Republican Kwa baadhi ya hizo states pia ni Trump supporters..

Nashindwa kukuwekea link Tu hapa
 
Back
Top Bottom