Biden atashinda, Trump is done

Biden atashinda, Trump is done

Mkuu umesahau leo hii juzi hapa Makonda anapigwa ban ya kuingia USA na Tanzania nayo ilijumuishwa?? Tafuta zile nchi za Saba Trump alizopiga Ban kuingia USA.

Sasa nauliza je? Biden ataondoa..

Kumbuka State kuna aina mbili za Visa kuna Immigrant na Non Immigrant Visa...

Sisi tulipigwa ban Visa ya Immigrant, yani hata zile bahati nasibu za Dv Lottery hatumo, Visa pekee tunaruhusiwa kuomba ni Non Immigrant Visa kama za kimasomo, utalii...
Ni hayo tu mkuu.
Proclamation is expired on 31, December 2020.

Trump alisaini hiyo mwezi April na June.

Labda kwa mwakani wanaweza badilisha.

Hiyo Proclamation iliwekwa kuzuia baadhi ya wahamiaji ili kuokoa internal labor market iloathirika na COVID-19.
 
Hiyo ni travel restrictions kwa hizo nchi na haimaanishi ni total ban.

Bado waweza kuomba DV lottery ambayo inakamilika November 10.
Lakini naona Tz hadi DV lottery hatumo, kama tumo je Muda bado upo niombe😀😀?
 
Ok bro nimekuelewa sasa..
Proclamation is expired on 31, December 2020.

Trump alisaini hiyo mwezi April na June.

Labda kwa mwakani wanaweza badilisha.

Hiyo Proclamation iliwekwa kuzuia baadhi ya wahamiaji ili kuokoa internal labor market iloathirika na COVID-19.
 
Yani mfano nikiwa Kenya wakati ni raia ya watz??
Yes.

Ni same kama uko UK na Kwingine isipokuwa zile nchi ambazo zipo restricted kama Nigeria.

LIST OF COUNTRIES/AREAS BY REGION WHOSE NATIVES ARE ELIGIBLE FOR DV-2022

The list below shows the countries whose natives are eligible for DV-2022, grouped by geographic region.

Dependent areas overseas are included within the region of the governing country. USCIS identified the countries whose natives are not eligible for the DV-2022 program according to the formula in Section 203(c) of the INA.

The countries whose natives are not eligible for the DV program (because they are the principal source countries of Family-Sponsored and Employment-Based immigration or “high-admission” countries) are noted after the respective regional lists.

AFRICA

Algeria Angola Benin Botswana Burkina Faso Burundi Cameroon Cabo Verde Central African Republic Chad Comoros Congo Congo, Democratic Republic of the Cote D’Ivoire (Ivory Coast) Djibouti Egypt* Equatorial Guinea Eritrea Ethiopia Gabon Gambia, The Ghana Guinea Guinea-Bissau Kenya Lesotho Liberia Libya Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Morocco Mozambique Namibia Niger Rwanda Sao Tome and Principe Senegal Seychelles Sierra Leone Somalia South Africa South Sudan Sudan Swaziland Tanzania Togo Tunisia Uganda Zambia Zimbabwe

* Persons born in the areas administered prior to June 1967 by Israel, Jordan, Syria, and Egypt are chargeable, respectively, to Israel, Jordan, Syria, and Egypt.

Persons born in the Gaza Strip are chargeable to Egypt; persons born in the West Bank are chargeable to Jordan; persons born in the Golan Heights are chargeable to Syria.

In Africa, natives of Nigeria are not eligible for this year’s Diversity Visa program.
 
Ahsante sana braza kwa ufafanuzi Mzuri. Mimi nilidhani tumepigwa ban kabisa kama Nigeria

Actually covid haijaleta impact kama ilivyotarajiwa..
Idadi ya kura alizopata Trump imeongezeka sana kuzidi mwaka 2016..
Na idadi ikubwa hawajamlaumu kuhusu covid..

Racial inequality wamesema ndo angalau
Ambao wamempigia Biden ndo no 1 factor
Hmmm...racial inequality??!!??

I wonder who this guy is that wrote this piece...I wonder! He wrote it back in June. 5 months ago....aye aye!

Halafu kuna mtu humu leo kasema, tena kwa kujiamini kabisa kuwa sijawahi kumkosoa Trump!

But yes, hiyo ni moja ya sababu...

I am pleased to announce that Christopher C. Miller, the highly respected Director of the National Counterterrorism Center (unanimously confirmed by the Senate), will be Acting Secretary of Defense, effective immediately..
 
Huyo Jiwe wa Marekani anaondoka tu apende asipende...bye bye Drump?
 
Back
Top Bottom